Unamheshimu mdada vizuri tu, kumbe analewa

Unamheshimu mdada vizuri tu, kumbe analewa

Hey Demi ujaelewa kitu kimoja..
Even mi nafanya ujinga wangu but this is too much .

Hv ushawahi angalia nyimbo za visingeli.
Yupo na wahuni sijui mashisha yale anapuliza an anashikwa shikwa then useme anavumilia mm navyokua na mashangaz wakat hajawahi ni shika on target..

Still enough anatuma mpaka status..
Juzi naongea nae anasema anaenda tandika kwa mdogo wake kumbe ndo siku hiyo kaenda kulewa kumalija kule...

Mtu unamchukulia smart unapanga nae mengi tuu demi hii isikie tuu inauma huyu mtu nimewekeza sana kwake is not about money ila tu mentally nimeweka vingi kwake
"Still enough"=Funny enough
 
Tafuta mrembo matata,mbichi,laini ,teketeke

Shangazi unawekeza nini?
Tangu nitoke na mashangazi sijawai pata kesi za hovyo ka hvi..
Hata ant dorry analewa ila huyu dogo hapana
 
Ahaa!..basinwewe hutoshei kwake! Wanawake tunapenda crazy boys..vya kubambia vikiwepo
Am crazy snaa sanaaa tuu
Ila sio ndo kwenda kwa wacheza visingeli jaman au wanataka u crazy huo uweje jamni niokote makopo au

Sema niokote makopo au
 
Back
Top Bottom