Unamiliki iPhone ya macho matatu wakati hata kiwanja huna, wewe ni bure tu

Unamiliki iPhone ya macho matatu wakati hata kiwanja huna, wewe ni bure tu

Nadhani ungekuwa kwanza unachunguza kama ni Fake au original maana iPhone fake mpaka 10,000 unapata.Mwisho wa kuwasilisha
 
Unakuta kijana anamiliki Iphone ya macho 3 wakati hata kiwanja hana mjini hii ni aibu nyingine na janga la hatari sana.

Unakuta wengine ni mtu nzima kabisa anamiliki Iphone ya macho 3 halafu analala kwa shemeji yake na kula mikate na watoto asubuhi wakati wanapata kifungua kinywa ili wapandishwe kwenye school bus.

Mimi nawaangalia watu wa aina hiyo najiuliza wana akili kweli? Unamiliki vipi iphone ya macho matatu au simu ya milioni moja na nusu wakati hata kiwanja huna?

Halafu umekaa ukila bure bure tu vya wazazi unategemea wazazi tu hapa hujui kusaka kwa jasho lako.

Ni aibu na fedheha kumiliki simu ya mamilioni wakati hata kiwanja cha laki 5 kule kisemvule huna unatakiwa ukaombewe au ukapimwe akili maana ni aibu.

kwani hiyo iphone ya milioni na nusu alinunulia nini;
 
Leo wamezindua iphone 13 wawaonee huruma dada zetu,marinda yataisha n break za kuzuia kimba zinaisha...watafika mbinguni wamechoka sana
Dah! demu akikuchomekea gia ya iphone 13 kwa usawa huu inabidi umwangalie kwa jicho la tatu....
 
Yaani kuna watu akiwa na kiwanja basi anaona keshapatia maisha. Kila mtu ana kipaumbele chake ndugu tusipangiane. Kiwanja chenyewe umenunua huko kibaha ndanindani huwezi hata weka duka then unajisifu kuwa na kiwanja.
 
Daaah, umenikumbusha kuna mzungu mmoja aliwahi tembelea Afrika nafikiri West africa. Basi alivyorudi huku siku moja tukawa tunapiga nae stories vitu alivyoviona huko West Africa. Alinambia waafrica sio maskini kama tunavyojitangaza ila ni akili zetu kidogo zina mushkeli, aliongea kama wewe ulivyosema hapo, huko alikutana na watu wanamiliki simu mbili mbili zote za bei mbaya lakini ukienda makwao maisha wanayoishi ni duni sana kitu ambacho wao wazungu hawafanyi. Na hizo simu mbili unakuta watu wanamiliki kwa show off hamna lolote la maana wanafanya nazo.
Daaah
 
Hivi mimi niwaze kununua kiwanja cha nini sasa mkuu wakati dingi yangu ashajenga mijumba kibao hapa town. Hayo si ni matumizi mabaya ya pesa?

Mkuu usipende kupangia watu. Wakati wewe kipaumbele chako ni kununua kiwanja Kisemvule kuna wenzako walishavuka hizo stage zamani sana.

Wakati mwingine anawaza anunue gari ya kifahari Elon Musk anawaza Mars Colonization.

Mkuu hebu google hili somo "hierarchy of needs". Huko utapata kujifunza kitu
Mali ya kuchuma kwa jasho lako ndo nzuri urithi wa nini
 
Kuna demu huku niliko alikuwa ananiponda sb mie kuwa na Samsung kisa hiyo iPhone, at the same time ananiomba 50000/= balaa.Nilimpotezea mpaka kesho sikumpa shenzi yule
Safi sana
 
Back
Top Bottom