Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Toshekeni na vitochiMwalimu na sisi wenye tecno y3 tufanye nini...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toshekeni na vitochiMwalimu na sisi wenye tecno y3 tufanye nini...?
Kwakweli hapa panauhalisia wabongo tulio wengi tunaangukia hapa hasa watoto wakike.Daaah, umenikumbusha kuna mzungu mmoja aliwahi tembelea Afrika nafikiri West africa. Basi alivyorudi huku siku moja tukawa tunapiga nae stories vitu alivyoviona huko West Africa. Alinambia waafrica sio maskini kama tunavyojitangaza ila ni akili zetu kidogo zina mushkeli, aliongea kama wewe ulivyosema hapo, huko alikutana na watu wanamiliki simu mbili mbili zote za bei mbaya lakini ukienda makwao maisha wanayoishi ni duni sana kitu ambacho wao wazungu hawafanyi. Na hizo simu mbili unakuta watu wanamiliki kwa show off hamna lolote la maana wanafanya nazo.
Sure mkuu wanaaanza juumia watu kumiliki iphoneMadalali wanakuwaga na hasira wakiwa na arosto za pombe na hawana mia.
Ni aibu na fedheha kumiliki simu ya mamilioni wakati hata kiwanja cha laki 5 kule kisemvule huna unatakiwa ukaombewe au ukapimwe akili
...Kupanga ni Kuchagua Mzee. Inawezeka anainunua hiyo Iphone kwa sababu ana uhakika kwamba itamuwezesha kupata Viwanja hata Vinne!!Unakuta kijana anamiliki Iphone ya macho 3 wakati hata kiwanja hana mjini hii ni aibu nyingine na janga la hatari sana.
Unakuta wengine ni mtu nzima kabisa anamiliki Iphone ya macho 3 halafu analala kwa shemeji yake na kula mikate na watoto asubuhi wakati wanapata kifungua kinywa ili wapandishwe kwenye school bus.
Mimi nawaangalia watu wa aina hiyo najiuliza wana akili kweli? Unamiliki vipi iphone ya macho matatu au simu ya milioni moja na nusu wakati hata kiwanja huna?
Halafu umekaa ukila bure bure tu vya wazazi unategemea wazazi tu hapa hujui kusaka kwa jasho lako.
Ni aibu na fedheha kumiliki simu ya mamilioni wakati hata kiwanja cha laki 5 kule kisemvule huna unatakiwa ukaombewe au ukapimwe akili maana ni aibu.
Unanunua iphone ya macho 3 wakati hata godoro huna hata kitanda hujawahi nunua unalalia vya watu na vya shemeji zako utakua ni mgonjwa sio bure
Umeamua kunisema si ndiyo?Yaani kuna watu akiwa na kiwanja basi anaona keshapatia maisha. Kila mtu ana kipaumbele chake ndugu tusipangiane. Kiwanja chenyewe umenunua huko kibaha ndanindani huwezi hata weka duka then unajisifu kuwa na kiwanja.
MwanaCCM umeanza wivu.Hivi wataleban wanaendeleaje?Kwa maana niliambiwa hawana noti za kusukumia gurudumu la maendeleo ya Afghanistan?Unakuta kijana anamiliki Iphone ya macho 3 wakati hata kiwanja hana mjini hii ni aibu nyingine na janga la hatari sana.
Unakuta wengine ni mtu nzima kabisa anamiliki Iphone ya macho 3 halafu analala kwa shemeji yake na kula mikate na watoto asubuhi wakati wanapata kifungua kinywa ili wapandishwe kwenye school bus.
Mimi nawaangalia watu wa aina hiyo najiuliza wana akili kweli? Unamiliki vipi iphone ya macho matatu au simu ya milioni moja na nusu wakati hata kiwanja huna?
Halafu umekaa ukila bure bure tu vya wazazi unategemea wazazi tu hapa hujui kusaka kwa jasho lako.
Ni aibu na fedheha kumiliki simu ya mamilioni wakati hata kiwanja cha laki 5 kule kisemvule huna unatakiwa ukaombewe au ukapimwe akili maana ni aibu.
Unanunua iphone ya macho 3 wakati hata godoro huna hata kitanda hujawahi nunua unalalia vya watu na vya shemeji zako utakua ni mgonjwa sio bure
Mnhhhh!!!!??Unakuta kijana anamiliki Iphone ya macho 3 wakati hata kiwanja hana mjini hii ni aibu nyingine na janga la hatari sana.
Unakuta wengine ni mtu nzima kabisa anamiliki Iphone ya macho 3 halafu analala kwa shemeji yake na kula mikate na watoto asubuhi wakati wanapata kifungua kinywa ili wapandishwe kwenye school bus.
Mimi nawaangalia watu wa aina hiyo najiuliza wana akili kweli? Unamiliki vipi iphone ya macho matatu au simu ya milioni moja na nusu wakati hata kiwanja huna?
Halafu umekaa ukila bure bure tu vya wazazi unategemea wazazi tu hapa hujui kusaka kwa jasho lako.
Ni aibu na fedheha kumiliki simu ya mamilioni wakati hata kiwanja cha laki 5 kule kisemvule huna unatakiwa ukaombewe au ukapimwe akili maana ni aibu.
Unanunua iphone ya macho 3 wakati hata godoro huna hata kitanda hujawahi nunua unalalia vya watu na vya shemeji zako utakua ni mgonjwa sio bure
Nisamehe bureUmeamua kunisema si ndiyo?
Hii mentality ya kijinga.Unakuta kijana anamiliki Iphone ya macho 3 wakati hata kiwanja hana mjini hii ni aibu nyingine na janga la hatari sana.
Unakuta wengine ni mtu nzima kabisa anamiliki Iphone ya macho 3 halafu analala kwa shemeji yake na kula mikate na watoto asubuhi wakati wanapata kifungua kinywa ili wapandishwe kwenye school bus.
Mimi nawaangalia watu wa aina hiyo najiuliza wana akili kweli? Unamiliki vipi iphone ya macho matatu au simu ya milioni moja na nusu wakati hata kiwanja huna?
Halafu umekaa ukila bure bure tu vya wazazi unategemea wazazi tu hapa hujui kusaka kwa jasho lako.
Ni aibu na fedheha kumiliki simu ya mamilioni wakati hata kiwanja cha laki 5 kule kisemvule huna unatakiwa ukaombewe au ukapimwe akili maana ni aibu.
Unanunua iphone ya macho 3 wakati hata godoro huna hata kitanda hujawahi nunua unalalia vya watu na vya shemeji zako utakua ni mgonjwa sio bure
Kumiliki viwanja imekua kama fasheni...unamiliki ila hujengi miaka nenda..utasikia mtu anakuja na hoja ni mtaji...Unakuta kijana anamiliki Iphone ya macho 3 wakati hata kiwanja hana mjini hii ni aibu nyingine na janga la hatari sana.
Unakuta wengine ni mtu nzima kabisa anamiliki Iphone ya macho 3 halafu analala kwa shemeji yake na kula mikate na watoto asubuhi wakati wanapata kifungua kinywa ili wapandishwe kwenye school bus.
Mimi nawaangalia watu wa aina hiyo najiuliza wana akili kweli? Unamiliki vipi iphone ya macho matatu au simu ya milioni moja na nusu wakati hata kiwanja huna?
Halafu umekaa ukila bure bure tu vya wazazi unategemea wazazi tu hapa hujui kusaka kwa jasho lako.
Ni aibu na fedheha kumiliki simu ya mamilioni wakati hata kiwanja cha laki 5 kule kisemvule huna unatakiwa ukaombewe au ukapimwe akili maana ni aibu.
Unanunua iphone ya macho 3 wakati hata godoro huna hata kitanda hujawahi nunua unalalia vya watu na vya shemeji zako utakua ni mgonjwa sio bure
Hakika vipaumbele vya waafrika tulio wengi ni vya kijinga yaani mtu anamiliki simu kali alafu anakaa kwa nduguDaaah, umenikumbusha kuna mzungu mmoja aliwahi tembelea Afrika nafikiri West africa. Basi alivyorudi huku siku moja tukawa tunapiga nae stories vitu alivyoviona huko West Africa. Alinambia waafrica sio maskini kama tunavyojitangaza ila ni akili zetu kidogo zina mushkeli, aliongea kama wewe ulivyosema hapo, huko alikutana na watu wanamiliki simu mbili mbili zote za bei mbaya lakini ukienda makwao maisha wanayoishi ni duni sana kitu ambacho wao wazungu hawafanyi. Na hizo simu mbili unakuta watu wanamiliki kwa show off hamna lolote la maana wanafanya nazo.
bro au na wewe ni miongon mwaoKila mtu anaishi maisha yake.
Je hizi sifa zimekaaje?! Baba mwenye iPhone, baba mwenye gari, baba aliye na mademu kibao, baba cha pombe, baba mnene, baba majisifu...Unakuta kijana anamiliki Iphone ya macho 3 wakati hata kiwanja hana mjini hii ni aibu nyingine na janga la hatari sana.
Unakuta wengine ni mtu nzima kabisa anamiliki Iphone ya macho 3 halafu analala kwa shemeji yake na kula mikate na watoto asubuhi wakati wanapata kifungua kinywa ili wapandishwe kwenye school bus.
Mimi nawaangalia watu wa aina hiyo najiuliza wana akili kweli? Unamiliki vipi iphone ya macho matatu au simu ya milioni moja na nusu wakati hata kiwanja huna?
Halafu umekaa ukila bure bure tu vya wazazi unategemea wazazi tu hapa hujui kusaka kwa jasho lako.
Ni aibu na fedheha kumiliki simu ya mamilioni wakati hata kiwanja cha laki 5 kule kisemvule huna unatakiwa ukaombewe au ukapimwe akili maana ni aibu.
Unanunua iphone ya macho 3 wakati hata godoro huna hata kitanda hujawahi nunua unalalia vya watu na vya shemeji zako utakua ni mgonjwa sio bure
Sasa huyu mwenye hela ya kununua hiyo simu, anaishije kwa shemeji yake? Nadhani hapo ndio ilipo HOJA ya mleta UZIAcha kuwapangia watu maisha, sema wewe huna hela ya kununulia aifoniii ya macho matatu😅kila mtu afate kipaumbele chake.