Unamiliki iPhone ya macho matatu wakati hata kiwanja huna, wewe ni bure tu

Na weee ni mpuuzi kama wapuuzi wengine wanaoamini kuwa mavi ya wazugu nibora kuliko ya ngozi nyeusi.

Umasikini ukipanda kichwani ni hatari
 
Sasa kakaaa kiwanja su kitaleta ugomvi niki pasi awei

Alafu usikute umeweka glass protector so bure ww
 
Katika maisha kila mtu anavipaumbele vyake.
Kuna watu wamepanga nyumba lakini wana magari mengi tu wamepaki uwani yaani ni Matajri wa kutosha tu.
Kujenga nyumba sio utajiri ni maamuzi tu.
Nyumba inajengwa na mtu yotote akiamua kwani hata ya chumba kimoja ni Nyumba.
Usilazimishe kila mtu awe na mtazamo wako.
Wengi wanaojenga haraka wana hofu ya maisha.
Wanaogopa huenda mbeleni maisha yakawaendea vibaya na kushindwa kumiliki nyumba.
Wenye nazo wala hawana huo wasiwasi.

We endelea kupambana.
 
Wewe kiwanja chako kiko hapo ubungo? Au kujishaua tu?
 
kimsboy

Huu ni ukweli unaouma,umesema ukweli unaoumiza watu sana,hasa wanaojiona wapo mjini dar. 🤣🤣
 
Kila mtu na kipaumbele chake mkuu, vipaumbele vyako sio vyao
 
Kila mtu ana kipaumbele chake. Mwingine kununua iPhone ya bei ni ndoto yake.
 

Umeongea sahihi sana mkuu
 
Kila mtu ana vipaumbele vyake. Ww huoni serikali yako imeenda kununua ndege kwa cash ila ukienda baadhi ya mikoa vijijini huko kuna wanafunzi wanakaa chini hawana madawati?
Ukifuatilia maisha ya watu utachelewa kufanya yako.
Mtu humlishi, hakuombi hela na wala hakai kwako kwann unaumiza vichwa?
Kuna watu wanaishi nyumba za kupanga lkn wanamiliki gari kali
Naunga mkono hoja.
Hawa vijana watolewe mapepo
 
Mbona serikali yako inanunua ndege kwa cash lkn kuna baadhi ya shule hazina maabara, na wanakaa chini?
Kuna vijiji havina maji tangu 1961 mpk leo lkn serikali haijaweka miundombinu ya maji lkn inazidi kununua ndege kwa cash
Ndoto zingine za ovyo
 
Mbona serikali yako inanunua ndege kwa cash lkn kuna baadhi ya shule hazina maabara, na wanakaa chini?
Kuna vijiji havina maji tangu 1961 mpk leo lkn serikali haijaweka miundombinu ya maji lkn inazidi kununua ndege kwa cash
Hujui ndege ni biashara?

Hiyo iphone unafanyia biashara gani?

Hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…