Jamaa ni oligarchy, na msuka mipango yote ya nchi ilimradi ajipatie faida kubwa iwe kwa uhalali au kwa uhalifu, kununua timu ya Chelsea 2004, bado kulikuwa na urafiki baina ya nchi hizi mbili, baada ya majasusi wa Russia kuwapa sumu wale majasusi wasaliti waliokuwa wanaishi uingerezaMkuu, sasa inakuwaje mtu anayesemekana kuwa ni "Jasusi" wa Urusi kuweza kununua club kubwa (kumiliki asilimia kubwa ya hisa) nchini Uingereza ilhali inajulikana fika kuwa hizi ni nchi mbili mahasimu?
Km jirani yetu palePutin siku zote huwa halei maradhi na masuala mengine ya hovyo hovyo
Imesemwa na nani mwenye mamlaka ya kufanya upelelezi wa jinai ndani ya shirikisho la Urusi?...Mwandishi Ni mshabiki wa mauaji yaso hatia , anawatetea waziwazi wahusika wa shambulio baya kabisa la mwaka 1999 lilioua makumi ya watu. Wauaji Wala hawakua chenchen ilikua fsb.imesemwa.
Putin sio myahudi?Valdamir mnyama!!
Usalama wa taifa au usalama wa Putin na genge lake!
We dogo endelea kuuza masndazi tu huna uzalendo wowoteKama media zinahatarisha usalama na ustawi wa taifa ni lazima zithibitiwe.
Kweli kabisa asa pale zinapokosoa Serikali halali,kuonyesha Ukweli nk..lazma Serikali izifungie. ...TANZANIA DaimaKama media zinahatarisha usalama na ustawi wa taifa ni lazima zithibitiwe.
Njoo uniungishe maandazi ukanywee chai bossWe dogo endelea kuuza masndazi tu huna uzalendo wowote
Ndio mkuu kuna watu wamemuweka pale..Kumbe Putin naye pia ana wababe wake aisee
Si ndio maana nakuambia Roman ni kichwa hatari ..kwanza ameshawasumbua uingereza sana ..na keshawatia hasara za kutosha yani ..unajua kiasilia huyu jamaa ni Myahudi hivyo anatumia passport ya Israel kuingia ulaya hasa magharibi ..mambo ni mengi kuhusu huyu mtu ..mkuu ukisema uandike hapa umalizi yote..kwa ufupi warusi wana pesa sana sema ndo hivyo huwezi wakuta forbes au kwenye majarida ya wamarekani au uingereza..Mkuu, sasa inakuwaje mtu anayesemekana kuwa ni "Jasusi" wa Urusi kuweza kununua club kubwa (kumiliki asilimia kubwa ya hisa) nchini Uingereza ilhali inajulikana fika kuwa hizi ni nchi mbili mahasimu?
Yeah ndo hivyo wanavyofanya hawa jamaa ..yani wanaandika mali zao kwa majina na raia wa nchi nyingine kabisa ..mfano huko arabuni wanamiliki mavisima makubwa ila kujua ndo mzikiNajua kama kampuni mbili kubwa Tanzania za usafirishaji mafuta/vituo vya mafuta na hotel moja ya nyota 5 na kampuni mbili za utalii Tanzania zinamilikiwa na wa Russia ila watanzania ndiyo wanaoziendesha
Uingereza na huyu jamaa tangu miaka ya sabini/themanini kipind akiwa chali bado aliwahi kuwaingiza chaka na ndo maana bado wanamfatilia ila Roman ni mastermind hatari hamwezi kabisa.Kuna kipindi waingereza walimperekesha kidogo aiuze timu, yupo UK kwa pass ya uyahudini siku hizi
Roman ndo kichwa cha Putin tuseme ..yani ndo mentor wake inawezekanaJamaa ni oligarchy, na msuka mipango yote ya nchi ilimradi ajipatie faida kubwa iwe kwa uhalali au kwa uhalifu, kununua timu ya Chelsea 2004, bado kulikuwa na urafiki baina ya nchi hizi mbili, baada ya majasusi wa Russia kuwapa sumu wale majasusi wasaliti waliokuwa wanaishi uingereza
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Sio chainlisomaga sehemu kua putin ndo richest man kupita hao akina bill gates..bezos...buffett nk..sijajua km ni chai au la
Mzee baba PutinRoman ndo kichwa cha Putin tuseme ..yani ndo mentor wake inawezekana
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Inawezekana mkuu kwa maana hawa wanasiasa huwa wana pesa saaaaana hususan wale wa nchi za ujamaa ya zamaninlisomaga sehemu kua putin ndo richest man kupita hao akina bill gates..bezos...buffett nk..sijajua km ni chai au la
Ila ni hapo kwenye "usalama na ustawi wa Taifa" .Kama media zinahatarisha usalama na ustawi wa taifa ni lazima zithibitiwe.
Sio chai, hiyo ni kweli dogonlisomaga sehemu kua putin ndo richest man kupita hao akina bill gates..bezos...buffett nk..sijajua km ni chai au la