Jamaa ni oligarchy, na msuka mipango yote ya nchi ilimradi ajipatie faida kubwa iwe kwa uhalali au kwa uhalifu, kununua timu ya Chelsea 2004, bado kulikuwa na urafiki baina ya nchi hizi mbili, baada ya majasusi wa Russia kuwapa sumu wale majasusi wasaliti waliokuwa wanaishi uingerezaMkuu, sasa inakuwaje mtu anayesemekana kuwa ni "Jasusi" wa Urusi kuweza kununua club kubwa (kumiliki asilimia kubwa ya hisa) nchini Uingereza ilhali inajulikana fika kuwa hizi ni nchi mbili mahasimu?
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app