Unamjua "Media Tycoon" Vladimir Gusinsky? Rais Putin alimwambia "niuzie vyombo vyako vya habari, laa sivyo nitakuweka ndani mpaka ukoo wako ukusahau"

Unamjua "Media Tycoon" Vladimir Gusinsky? Rais Putin alimwambia "niuzie vyombo vyako vya habari, laa sivyo nitakuweka ndani mpaka ukoo wako ukusahau"

Mkuu, sasa inakuwaje mtu anayesemekana kuwa ni "Jasusi" wa Urusi kuweza kununua club kubwa (kumiliki asilimia kubwa ya hisa) nchini Uingereza ilhali inajulikana fika kuwa hizi ni nchi mbili mahasimu?
Jamaa ni oligarchy, na msuka mipango yote ya nchi ilimradi ajipatie faida kubwa iwe kwa uhalali au kwa uhalifu, kununua timu ya Chelsea 2004, bado kulikuwa na urafiki baina ya nchi hizi mbili, baada ya majasusi wa Russia kuwapa sumu wale majasusi wasaliti waliokuwa wanaishi uingereza

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Mwandishi Ni mshabiki wa mauaji yaso hatia , anawatetea waziwazi wahusika wa shambulio baya kabisa la mwaka 1999 lilioua makumi ya watu. Wauaji Wala hawakua chenchen ilikua fsb.imesemwa.
Imesemwa na nani mwenye mamlaka ya kufanya upelelezi wa jinai ndani ya shirikisho la Urusi?...
 
Mkuu, sasa inakuwaje mtu anayesemekana kuwa ni "Jasusi" wa Urusi kuweza kununua club kubwa (kumiliki asilimia kubwa ya hisa) nchini Uingereza ilhali inajulikana fika kuwa hizi ni nchi mbili mahasimu?
Si ndio maana nakuambia Roman ni kichwa hatari ..kwanza ameshawasumbua uingereza sana ..na keshawatia hasara za kutosha yani ..unajua kiasilia huyu jamaa ni Myahudi hivyo anatumia passport ya Israel kuingia ulaya hasa magharibi ..mambo ni mengi kuhusu huyu mtu ..mkuu ukisema uandike hapa umalizi yote..kwa ufupi warusi wana pesa sana sema ndo hivyo huwezi wakuta forbes au kwenye majarida ya wamarekani au uingereza..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Najua kama kampuni mbili kubwa Tanzania za usafirishaji mafuta/vituo vya mafuta na hotel moja ya nyota 5 na kampuni mbili za utalii Tanzania zinamilikiwa na wa Russia ila watanzania ndiyo wanaoziendesha
Yeah ndo hivyo wanavyofanya hawa jamaa ..yani wanaandika mali zao kwa majina na raia wa nchi nyingine kabisa ..mfano huko arabuni wanamiliki mavisima makubwa ila kujua ndo mziki

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Jamaa ni oligarchy, na msuka mipango yote ya nchi ilimradi ajipatie faida kubwa iwe kwa uhalali au kwa uhalifu, kununua timu ya Chelsea 2004, bado kulikuwa na urafiki baina ya nchi hizi mbili, baada ya majasusi wa Russia kuwapa sumu wale majasusi wasaliti waliokuwa wanaishi uingereza

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Roman ndo kichwa cha Putin tuseme ..yani ndo mentor wake inawezekana

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
nlisomaga sehemu kua putin ndo richest man kupita hao akina bill gates..bezos...buffett nk..sijajua km ni chai au la
Inawezekana mkuu kwa maana hawa wanasiasa huwa wana pesa saaaaana hususan wale wa nchi za ujamaa ya zamani
 
Back
Top Bottom