Unamjua "Media Tycoon" Vladimir Gusinsky? Rais Putin alimwambia "niuzie vyombo vyako vya habari, laa sivyo nitakuweka ndani mpaka ukoo wako ukusahau"

Unamjua "Media Tycoon" Vladimir Gusinsky? Rais Putin alimwambia "niuzie vyombo vyako vya habari, laa sivyo nitakuweka ndani mpaka ukoo wako ukusahau"

Bezos kwa warus ni mbl sna.Kwa akina Elchapo tu hatii mguu.
Nikijuacho tu forbe Ni kwa ajili ya watoto,records za forbe Ni kwa ajili ya wapenda sifa,i'la matajiri wa kweli hukuti rekodi zao forbes,duniani Kuna matajiri wengi Sana ambao huwez kuona rekodi zao ktk hao jamaa!!hao kina musk,bill gate,bezos na wenzao Kuna watu wengi tu wamewazidi mbali tu!! I'la hawapendi sifa za kijinga

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Umesahau kumtaja na Mwamedi wa Metle
 
Mchezo wote huo ulikuwa unasukwa na mnyama Roman Abramovich..huyu ndo mastermind wa Putin kukaa madarakani hadi leo..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Roman Abramovich ni kidagaa mbele ya Putin. Wakati Putin ni Director General wa KGB, Roman ndio alikuwa anakujakuja na wenzake kwenye sekta ya gesi na aluminium walizopewa na serikali kwa kutaifisha. Roman alipendekezwa kwa wasaidizi wa Putin, hata level za kuongea na Putin hakuwa nazo.

Ni sawa na mtu aseme Mo Dewji kwenye usalama ni mbabe wa Modestus Kipilimba (assume alistaafu inavyostahiki, sio kubadilishwa kazi). Labda kama hujataka kutambua nguvu ya KGB.

Nguvu na influence ya mtu kwenye nchi za hivi mara nyingi haitokani na fedha. Msome Georgy Zhukov ambaye umaarufu wake ulimtia wivu Josef Stalin ila hakuweza mfunga wala kumuua kwa sababu ya umaarufu.
 
Umafia wao ulianza kitambo. Tangu enzi za Umoja wa Kisovieti (USSR).

Baada ya kuvunjika kwa umoja huo, magenge ya Mafia yakaanza kuukalia uchumi wa Urusi.
Umafia wa Russia ni uko kwenye damu. Kwanza hawa watu ni jamii ya Rus, ambao ni jamii ya Vikings sasa unategemea nini kwenye damu kama hii. Achana na wachache wenye nywele nyeusi wanaotokea Eastern kama Siberia.

Uko East unakutana na watu wenye asili ya Mongols, si unampata Genghis Khan na watu wake. Mazalia yake yaliishia hapa waliposhindwa kuiteka Urusi nzima ya miaka ile waliposhindwa na Prince wa Moscow. Bado hii ni damu ya ugomvi.

Unakuja Kusini unakutana na jamii iliyokuwa inapigana na majirani kama Waturuki na Waarabu flani maeneo ya Kazakhstan uko na wasumbufu kina Chechen Republic.

Magharibi walipigana sana na Swedish, Turkish na Norwegian Navy. Miji kama St. Petersburg isingekuwa ya Russia leo. Hapo bado upinzani wa UK na France kutawala bahari yao.

Wamepigana na Ottoman empire wakasaini mikataba kibao hata hii Crimea waliitoa uko.
Walipigana na Napoleon Bonaparte akiwa na nguvu sana ila hali yao ya hewa ikamfelisha wakamshinda. Wakati alikuwa amepiga Ulaya nzima.
Waliingia vitani na Japan ikiwa na Navy kubwa duniani.

Vita ya pili ya dunia Hitler anawatuma kina Field Marshall Paulus, von Manstein na wengine wakakutana na mziki wa Georgy Zhukov, Rokossovsky, Vatutin, etc walipigwa wakakimbia. Sijapata kuona wapi jeshi la Nazi lilijisalimisha ila ndani ya USSR walifanya sana. Sijaona wapi walirudi nyuma ila ndani huku.

Hitler alikuwa hapendi surrender wala retreat ila walilazimika. USSR hakuna Marshal wao hata mmoja alijisalimisha, ni upigane ufe tujue moja sio ukamatwe. Ila Ujerumani ina maofisa zaidi ya 60 walikamatwa kwa kujisalimisha.

Wasoviet kwenye vita walikuwa na kikosi maalum cha kuua wanaotoroka. Kikosi kinakaa nyuma mnapigana mbele wewe jichanganye urudi sijui ukimbie. Kikosi kiliua watu wake wenyewe 158,000. Casualties za WW2 kwa USSR ilikuwa ni zaidi ya watu milioni 20, hii ni zaidi ya robo tatu ya wote waliokufa vitani dunia nzima.

Ukizaliwa uku kwa nini usiwe mafia.
 
Roman Abramovich ni kidagaa mbele ya Putin. Wakati Putin ni Director General wa KGB, Roman ndio alikuwa anakujakuja na wenzake kwenye sekta ya gesi na aluminium walizopewa na serikali kwa kutaifisha. Roman alipendekezwa kwa wasaidizi wa Putin, hata level za kuongea na Putin hakuwa nazo.

Ni sawa na mtu aseme Mo Dewji kwenye usalama ni mbabe wa Modestus Kipilimba (assume alistaafu inavyostahiki, sio kubadilishwa kazi). Labda kama hujataka kutambua nguvu ya KGB.

Nguvu na influence ya mtu kwenye nchi za hivi mara nyingi haitokani na fedha. Msome Georgy Zhukov ambaye umaarufu wake ulimtia wivu Josef Stalin ila hakuweza mfunga wala kumuua kwa sababu ya umaarufu.
Very interesting
 
Back
Top Bottom