kitonger
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 1,164
- 1,533
mbona forbes hajawekwa ktk list mkuu..nifumbue[emoji3]Sio chai, hiyo ni kweli dogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona forbes hajawekwa ktk list mkuu..nifumbue[emoji3]Sio chai, hiyo ni kweli dogo
i didnt mean[emoji3] i meant [emoji120]Sio chai, hiyo ni kweli dogo
It's okay brotheri didnt mean[emoji3] i meant [emoji120]
Umejuaje sasa?Sio chai, hiyo ni kweli dogo
Labda kaingia google akasomaUmejuaje sasa?
Hana akili hizo huyo mkuuLabda kaingia google akasoma
Hahaaa aahh muTanzania masikini bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bezos kwa warus ni mbl sna.Kwa akina Elchapo tu hatii mguu.
Kana kwamba hujui kweli ama kejeli[emoji2955][emoji2955][emoji2955]Kumbe Putin naye pia ana wababe wake aisee
Hayo ni maoni ya shabiki wake..nlisomaga sehemu kua putin ndo richest man kupita hao akina bill gates..bezos...buffett nk..sijajua km ni chai au la
Nikijuacho tu forbe Ni kwa ajili ya watoto,records za forbe Ni kwa ajili ya wapenda sifa,i'la matajiri wa kweli hukuti rekodi zao forbes,duniani Kuna matajiri wengi Sana ambao huwez kuona rekodi zao ktk hao jamaa!!hao kina musk,bill gate,bezos na wenzao Kuna watu wengi tu wamewazidi mbali tu!! I'la hawapendi sifa za kijingaBezos kwa warus ni mbl sna.Kwa akina Elchapo tu hatii mguu.
Umesahau kumtaja na Mwamedi wa MetleNikijuacho tu forbe Ni kwa ajili ya watoto,records za forbe Ni kwa ajili ya wapenda sifa,i'la matajiri wa kweli hukuti rekodi zao forbes,duniani Kuna matajiri wengi Sana ambao huwez kuona rekodi zao ktk hao jamaa!!hao kina musk,bill gate,bezos na wenzao Kuna watu wengi tu wamewazidi mbali tu!! I'la hawapendi sifa za kijinga
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Acha tu mkuu 😂Hahaaa aahh muTanzania masikini bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Roman Abramovich ni kidagaa mbele ya Putin. Wakati Putin ni Director General wa KGB, Roman ndio alikuwa anakujakuja na wenzake kwenye sekta ya gesi na aluminium walizopewa na serikali kwa kutaifisha. Roman alipendekezwa kwa wasaidizi wa Putin, hata level za kuongea na Putin hakuwa nazo.Mchezo wote huo ulikuwa unasukwa na mnyama Roman Abramovich..huyu ndo mastermind wa Putin kukaa madarakani hadi leo..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Umafia wa Russia ni uko kwenye damu. Kwanza hawa watu ni jamii ya Rus, ambao ni jamii ya Vikings sasa unategemea nini kwenye damu kama hii. Achana na wachache wenye nywele nyeusi wanaotokea Eastern kama Siberia.Umafia wao ulianza kitambo. Tangu enzi za Umoja wa Kisovieti (USSR).
Baada ya kuvunjika kwa umoja huo, magenge ya Mafia yakaanza kuukalia uchumi wa Urusi.
Wataliano ndio MAFIA zaidi dunia nzimaLazima tu mtu atakuwa mafia
Mr. Nice siku hizi yupo wapi?Nice
Very interestingRoman Abramovich ni kidagaa mbele ya Putin. Wakati Putin ni Director General wa KGB, Roman ndio alikuwa anakujakuja na wenzake kwenye sekta ya gesi na aluminium walizopewa na serikali kwa kutaifisha. Roman alipendekezwa kwa wasaidizi wa Putin, hata level za kuongea na Putin hakuwa nazo.
Ni sawa na mtu aseme Mo Dewji kwenye usalama ni mbabe wa Modestus Kipilimba (assume alistaafu inavyostahiki, sio kubadilishwa kazi). Labda kama hujataka kutambua nguvu ya KGB.
Nguvu na influence ya mtu kwenye nchi za hivi mara nyingi haitokani na fedha. Msome Georgy Zhukov ambaye umaarufu wake ulimtia wivu Josef Stalin ila hakuweza mfunga wala kumuua kwa sababu ya umaarufu.