Fanya hivyoKuna mtu ameniambia ana mkanda wa VHS wa mashindano flani ya disco yalifanyika pale magomeni Kota(ccm ndugumbi) kulikuwa kuna ukumbi mkubwa sana wa Disco wale watu wa zamani kama mimi mtakumbuka SWEET CORNER DISCO TEQ ndani ya huo mkanda jamaa anakutana fainali na mtu mmoja anaitwa BOSCO COOL J noma sana nataka nikiupata nitaubadirisha kuja kwenye mp4 alafu nitaweka hapa muone huyo mtu alivyokuwa na kipaji cha aina yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi hizo ukiwa Mbowe ule mziki wa mwisho ndio unakupa akili utaingiaje home wakati ulitokea dirishani.Enzi hiyo Magu hajaingiamjini bado, Bashite ndo kwanza kaacha kunyonya.
tafuta video clip za harusi za zamani za watz walioishi dar.Hv siwezi kupata clips za hawa jamaa wakisakata disco.....napenda sana disco zao
watoto wa enzi hizo waliokulia kota za bandari, tanesco na railway utawajua tu.Enzi hizo ukiwa Mbowe ule mziki wa mwisho ndio unakupa akili utaingiaje home wakati ulitokea dirishani.
😂😂😂 ilikuwa mitaa ya Salender Bridge mkuu long way backwatoto wa enzi hizo waliokulia kota za bandari, tanesco na railway utawajua tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
upande upi?... ule wa ufukweni kule jirani na nyumba ya baba yake le mutuz bila shaka.[emoji23][emoji23][emoji23] ilikuwa mitaa ya Salender Bridge mkuu long way back
Za Lunyamila zitakuwepo kwa sababu amecheza mechi kibao zilizokuwa live kwenye TvKweli nyerere alifungia nchi. Yaani miaka ya 90 na hamna hata mwenye kideo cha hawa jamaa angalau tuwaone? Ni kama huyu mwamuita lunyamila, broo wangu anadai jamaa alikuwa shida ktk soka ila hamna hata clip yake akicheza.
Kuna final ilikua kali zaidi ndio ilimpa jina sana Moses,kuna shabiki alipandwa na mzuka akamrushia chupa ya bia Moses ila sio kwa ubaya ni midadi tu,then akampa zawadi nadhani ilikua radio.Moses akachukua ubingwa wa Taifa.Bosco cool J ni marehemu sasa hivi amefariki mwaka huu
Nakumbuka enzi hizo miaka ya 90 alishinda akapewa kipikipiki flani scooter ya blue hivi keko machungwa pakawa na shangwe balaaa
DJ Kali kali YMCA, Chogy SlyBlackMoses na Athumani Digadiga na kina Bosco CoolJ walitikisa jiji enzi zao.
[DJ Kali kali YMCA, Chogy Sly
Kweli nyerere alifungia nchi. Yaani miaka ya 90 na hamna hata mwenye kideo cha hawa jamaa angalau tuwaone? Ni kama huyu mwamuita lunyamila, broo wangu anadai jamaa alikuwa shida ktk soka ila hamna hata clip yake akicheza.
Halafu alivyokuwa mduwanzi anatutishia eti tutakimbia jiji, ataanza kurudi yeye kwao.Enzi hiyo Magu hajaingiamjini bado, Bashite ndo kwanza kaacha kunyonya.
Naona kuna ugumu mkubwa.Kulikuwa na kina pia Digaa.,.hv hatuwezi pata clips zao....??
well said.tafuta video clip za harusi za zamani za watz walioishi dar.
miaka hiyo video zilikuwa zinarekodiwa kwenye VHS tape but wapo walio zi convert katika soft copy na kuzihifadhi kwenye cd au hard disk drive.
huko ndio unaweza kuwaona hawa akina black moses maana miaka hiyo reception/wedding party ilikuwa haiwezi kamilika bila wao kupewa nafasi ya kutoa burudani.