Unamkumbuka Mwalimu wako aliyekufundisha Elimu ya Awali?

Si jina jipya ikiwa wewe ni ukanda wa Songea, Basi akiwa ndiye ulizia walimu waliopo shule ya msingi ya jeshi Chabruma au Lilambo primary school kitu kama ni mratibu elimu kata kwa sasa if not mistaken
 
Wa zamani wengi hatukusoma awali/chekechea/vidudu.Walisoma wachache sana.Shule tulianzia nyumbani kufundishwa na ndugu,marafiki,wazazi na utunduutundu tu.
Na miye nikichelewa kuanza shule

Nilizaliwa mwaka 1986 nikaanza shule ya msingi 1995
 
"Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena"
👆Hii kitu itakuletea shida 🤣🤣🤣
Hiyo ni nukuu ya Mpwayungu ni shemeji yangu yule

Nimeiweka hapa Ili Kila muda aione Ili abadilike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…