Unamkumbuka Mwalimu wako aliyekufundisha Elimu ya Awali?

Huna zawadi ya kumpa zaidi ya kisamvu .

Bahati nzuri Mwl hatumii hiyo kitu.

Akikuona lazima atasikitika sanaa
Wee ni mwehu kweli, akati ni mwalimu wa kike.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umevurugwaa wee.
 
Hata simkumbuki, alikuwa sister wale wa kanisani, tulikiwa tunakunywa maziwa hadi tunamwaga, siku alinikamata nayamwaga sikuamini macho yangu huyu ni sister kweli au? Alinizibua balaa. Hiyo ilikuwa miaka ya 80 huko TANGA majani mapana
 
Chang'ombe DDC nursery pale uweanja wa Taifa shamba la bibi pembeni na shule ya Chang'ombe primary school. Kuna mwalimu wetu wa Nursery mwal. Masambura.. yule sir siwez msahau alikimbiaga na ada zetu za kuingia shule ya msingi. Alitufelisha kinyama!
 
Std 1 Mwl. Lunyirija, Upanga Primary School.
She is the best😍

Chekechea simkumbuki hata mwalim mmoja ila nakumbuka shule ilikua pale Vijana opp na Mango garden miaka ya 90's.
Mzee mwenzangu πŸ˜…
 
Mwalimu Ndosi Muhimbili
Mwalimu Kidulile
Mwalimu Mayunga
Mwalimu Muhimbira
Mwalimu Nanakara
Mwalimu Mahimbo
Mwalimu Shayo
Mwalimu Massawe

Hawa ni baadhi ya walimu shule ya Muhimbili
 
Mwalimu Ndosi Muhimbili
Mwalimu Kidulile
Mwalimu Mayunga
Mwalimu Muhimbira
Mwalimu Nanakara
Mwalimu Mahimbo
Mwalimu Shayo
Mwalimu Massawe

Hawa ni baadhi ya walimu shule ya Muhimbili
Mungu awape maisha marefu

Hongera mkuu Kwa kuwakumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…