Bana likasi JF-Expert Member Joined Jan 7, 2020 Posts 6,926 Reaction score 6,422 May 30, 2020 #41 Castr said: Na hawajawahi kuloga ili madini yawafaidishe. Nikisema tuna matatizo sehemu sehemu naonekana miyeyusho Click to expand... Enzi za utumwa na ukoloni uchawi ulikuwa karibu kila mwafrika alikuwa ni mchawi sababu wakata mikaa wa kumaliza miti awakuwapo,huwa najiuliza walishindwa vipi kuwaroga wakoloni ili wasiwatawale au kuwachukua utumwani Babu zetu?
Castr said: Na hawajawahi kuloga ili madini yawafaidishe. Nikisema tuna matatizo sehemu sehemu naonekana miyeyusho Click to expand... Enzi za utumwa na ukoloni uchawi ulikuwa karibu kila mwafrika alikuwa ni mchawi sababu wakata mikaa wa kumaliza miti awakuwapo,huwa najiuliza walishindwa vipi kuwaroga wakoloni ili wasiwatawale au kuwachukua utumwani Babu zetu?
Program Manager JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 2,763 Reaction score 3,955 May 30, 2020 #42 Picha imehaririwa hiyo mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,661 Reaction score 21,656 Jun 8, 2020 Thread starter #43 Dua inajibu kila kukicha
Priceless soul JF-Expert Member Joined Jul 4, 2017 Posts 1,484 Reaction score 1,732 Nov 1, 2020 #44 fundinaizer said: Uchawi hauendi kwa mentali. Click to expand... Unajua maana yake?
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,890 Reaction score 2,795 Nov 1, 2020 #45 Castr said: Na hawajawahi kuloga ili madini yawafaidishe. Nikisema tuna matatizo sehemu sehemu naonekana miyeyusho Click to expand... Ha ha ha ha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Castr said: Na hawajawahi kuloga ili madini yawafaidishe. Nikisema tuna matatizo sehemu sehemu naonekana miyeyusho Click to expand... Ha ha ha ha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Andrew Tate JF-Expert Member Joined Jun 28, 2020 Posts 4,503 Reaction score 6,861 Nov 1, 2020 #46 Uchawi ungekuwa unafanya kazi basi afrika tungekuwa powerful continent.
J Jozi 1 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 6,563 Reaction score 4,145 Nov 1, 2020 #47 fundinaizer said: Uchawi hauendi kwa mentali. Click to expand... Na uchwawibhauvuki bahari
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 1, 2020 #48 Hatari sana... Ngoja tuone... Cc: mahondaw