Unamkumbuka yule askari aliyeua mtu mweusi US,basi kwisha habari yake. Wazungu wakekesha kupiga simu Afrika kuomba msamaha

Unamkumbuka yule askari aliyeua mtu mweusi US,basi kwisha habari yake. Wazungu wakekesha kupiga simu Afrika kuomba msamaha

Na hawajawahi kuloga ili madini yawafaidishe.

Nikisema tuna matatizo sehemu sehemu naonekana miyeyusho
Enzi za utumwa na ukoloni uchawi ulikuwa karibu kila mwafrika alikuwa ni mchawi sababu wakata mikaa wa kumaliza miti awakuwapo,huwa najiuliza walishindwa vipi kuwaroga wakoloni ili wasiwatawale au kuwachukua utumwani Babu zetu?
 
Uchawi ungekuwa unafanya kazi basi afrika tungekuwa powerful continent.
 
Back
Top Bottom