Connection sio lazma ila inakupa shortcut tu. Ila kama huna connection itabidi uteseke na ufanye kazi mara tatu zaidi ya wenye connection ili upate kuonekanana maisha bila kuconnection utasom mpk majengo yakudondkee mkuu
lakin unajua km mkuu siku hz bila pesa haupat kazi na bila kujuana juana haupat kaziNi kweli ajira hakuna lakini kazi zipo nyingi sana ......aongee na watu vizuri asiangalie vyeti vyake na elimu aliyonayo....( Cheti ni karatasi ya kawaida kama A4 zingine tu)
sawa mkuuConnection sio lazma ila inakupa shortcut tu. Ila kama huna connection itabidi uteseke na ufanye kazi mara tatu zaidi ya wenye connection ili upate kuonekana
Akisha OA akili itamkaa tu atajua cha kumlisha, umjini umetuharibia vijana kijijini ukimaliza shule tu unaozeshwa unapewa na kaplot na tumbuzi tung'ombe maisha yanaanzia hapoAtamlisha nn?
Unajua msoto na stress za kukosa kukosa ajira mkuu? yaani mtu hana mishe yoyote alafu unamuuliza ana future gani 5 years ahead
Ni kweli mkuu kumpa ushauri mtu aliemaliza chuo alafu anatafuta ajira inahitaji kwenda nae kwa tahadhari sana vinginevyo utazidi kumchanganya tu, hiki kipindi mtu hitaji lake linakua ni ajira tu sasa ukimletea habari za vision sijui future plan miaka mitano mbele ataona unamzingua tuNo kuna watu wana vision zao au kutokana na kaexperience ka kawaida mtu anaweza kuwa anajua kitu flani.
Ila hicho kipindi ni kigumu sana sanaaa na ukimuuliza mtu mwingine anaeza ona unamletea mambo za interview na yeye kashapagawa
Nakubali mkuu, kwa level hiyo anabidi kupata exposure na kuendesha bills zake.Ni kweli mkuu kumpa ushauri mtu aliemaliza chuo alafu anatafuta ajira inahitaji kwenda nae kwa tahadhari sana vinginevyo utazidi kumchanganya tu, hiki kipindi mtu hitaji lake linakua ni ajira tu sasa ukimletea habari za vision sijui future plan miaka mitano mbele ataona unamzingua tu
Hivi unajua kwamba kuna idadi kubwa ya IT Technicians wenye hadi masters ila hawana ajira wapo tu mtaani?
Sawa mkuu problem is capital & capital is problematic, lakini umeeleweka mkuuKama walisoma ili waajiriwe..basi watasota ...Sana....
Technology inatoa fursa ya kujiajiri na kuajiri wengine.....ukiijua vizuri...
Tanzania hii kuna apps nyingi Tu zinahitajika na soko ni kubwa sana...
Mwenye mawazo ya kuajiriwa Acha asote
Ajaribu tu ipo siku Mungu atamsaidia nakumpa kile alichotarajia na zaidi msishangae mtu kuwa hana ajira ni muda hujafikaNadhani kila moja wetu anafahmu kuwa hali ya maisha now imekuwa ngumu hususani kwenye swala zima la kipato na matumizi yapo juu sana. mpaka inapelekea maisha yanakuwa magumu sana, kila mtaa utakao pita utakuna na bodaboda.
Siyo kazi mbaya ila ndio kazi ambayo vijana wengi wanaweza kuifanya kupata ridhiki zao.
Sasa leo mchana nilikaa na ndugu yangu yeye kamaliza chuo lakini yupo tu mtaani, kaniuliza hivi kama nikikuomba ushauri nifanye kazi ili niingize kipato utanishauri nifanye kazi gani ghafla ghafla nimekosa jibu la kumpa.
Enyi wana jamiiforums naomba tushirikiane katika kutoa mawazo ya idea za biashara zenye uitaji wa mtaji wa kuanzia laki 1 na nusu hadi laki 3 ambazo zinaweza kuwasaidia hawa vijana wasio na ajira kuingiza kipato
Karibuni kwenye mjadala
Sio kila kitu kinahitaji capital..je kuanzisha page Instagram mfano ya kuweka matangazo ya kazi Tu...unahitaji capital? Page ikiwa maarufu si utaishi Kwa matangazo?Sawa mkuu problem is capital & capital is problematic, lakini umeeleweka mkuu
Starting point is another problem plus capital, insta bila bando hakuingiliki au unafikiri insta ni bure? bando minimum price la siku ni 500 unapewa MB 250, airtime ya hizo MB ukitumia insta haumalizi masaa mawili limeshaungua.. in short hio ni part & parcel of capitalSio kila kitu kinahitaji capital..je kuanzisha page Instagram mfano ya kuweka matangazo ya kazi Tu...unahitaji capital? Page ikiwa maarufu si utaishi Kwa matangazo?
Wajanja Wana anzia college kwenye internet nafuu Kama sio bure kabisaStarting point is another problem plus capital, insta bila bando hakuingiliki au unafikiri insta ni bure? bando minimum price la siku ni 500 unapewa MB 250, airtime ya hizo MB ukitumia insta haumalizi masaa mawili limeshaungua.. in short hio ni part & parcel of capital
Mpaka hapo bado problem is capital & capital is problematic, ila km haujapitia huo msoto utachukulia simple simple tu
Bado unachukulia simple, hapo kwenye mada anazungumziwa mtu ambaye yupo mtaani tayari hana capital hana source of income alafu unamwambia aende insta akafungue a/c hata hela ya kuendeshea hio a/c hana unategemea nini aanze kubahatisha?Wajanja Wana anzia college kwenye internet nafuu Kama sio bure kabisa
Kwa maono yangu kupiga hatua kwenye biashara za kujumua na kuuza zinahitaji mtu aliyekuwa na uzoefu wa miaka miwili na kuendelea bidhaa nyingi zimepanda bei na zingine kuadimika kwa kijana anayeanza maisha anaweza kujikita kwenye kilimo cha muda mfupi kama vitunguu na mboga mbogaMutafutie mutaji fungua goli la kuuza matunda utanishukuru.
Yeye mtoa mada anaishi mjini sio kijijiniKwa maono yangu kupiga hatua kwenye biashara za kujumua na kuuza zinahitaji mtu aliyekuwa na uzoefu wa miaka miwili na kuendelea kwa kijana anayeanza maisha anaweza kujikita kwenye kilimo cha muda mfupi kama vitunguu na mboga mboga
🤝🤝🤝Ajaribu tu ipo siku Mungu atamsaidia nakumpa kile alichotarajia na zaidi msishangae mtu kuwa hana ajira ni muda hujafika