Unamtaji wa kuanzia 1.5M au ulikuwa na lengo la kufungua biashara ya M-pesa/Tigo pesa ? Achana na hilo wazo kwanza January hii Anza na hii biashara

Unazunguka sana hoja inazungshwa mno ndio maana wafanyamatangazo wengi ya ni bure kabisa

USSR
 
Mkuu ulikuwa na nafasi ya kuuliza swali usipoelewa haya Kwa lugha nyepesi

Kuna huduma inafahamika kama mjasiriamali box huduma hii ilianzishwa na yas zamani Tigo Kwa lengo la kuwapa suluhisho wafanyabiashara na wajasiriamali kupata huduma za kimtandao kwaajili ya biashara zao Kwa gharama nafuu wakiyofautisha na mteja wa kawaida ambae Sio mfanya biashara huduma hizo ni

1. Internet isiyokuwa na kikomo
2. Internet ya makazi ya majumbani
3. Bulk sms
4. Vifurushi vya GB nafuu
5. Huduma ya CUG
Kifupi zipo nyingi sasa basi wewe Mwenye mtaji unapenda kuwa Wakala wao wa kuwatafutia au kuwahudumia Hawa wateja wote wenye uhitaji wa huduma Moja wapo kati ya nyingi uzitoazo kipi ambacho hakijaeleeweka

Tujenge hoja Kisha uliza swali
 
Acha ushamba

Tujenge hoja Kisha uliza swal
 
Hapa kuna watu wanatafutwa walizwe.

Toa maelezo hapa unauza nini au kutoa huduma gani ili upate pesa. Mambo ya kubonyeza link ndio kuanza kutupeleka kwa wakenya wanahack account za whatsapp na kuliza wanafamilia
Mkuu ulikuwa na nafasi ya kuuliza swali usipoelewa haya Kwa lugha nyepesi

Kuna huduma inafahamika kama mjasiriamali box huduma hii ilianzishwa na yas zamani Tigo Kwa lengo la kuwapa suluhisho wafanyabiashara na wajasiriamali kupata huduma za kimtandao kwaajili ya biashara zao Kwa gharama nafuu wakiyofautisha na mteja wa kawaida ambae Sio mfanya biashara huduma hizo ni

1. Internet isiyokuwa na kikomo
2. Internet ya makazi ya majumbani
3. Bulk sms
4. Vifurushi vya GB nafuu
5. Huduma ya CUG
Kifupi zipo nyingi sasa basi wewe Mwenye mtaji unapenda kuwa Wakala wao wa kuwatafutia au kuwahudumia Hawa wateja wote wenye uhitaji wa huduma Moja wapo kati ya nyingi uzitoazo kipi ambacho hakijaeleeweka

Tujenge hoja Kisha uliza swal
 
Sasa hayo yote si ungeyasema mwanzoni kwenye mada yako ili kuepuka maswali yasiyo ya lazima!
Hata ningeweka kila kitu Bado maswali yangewepi ndio maana nikatoa room ya kuuliza na ukajibiwa mkuu andiko Moja huwezi kamilisha maelezo ya kila mmoja mana kila mmoja anaelewa kivyake
 
mKuu nataka niwe nawauzia watu gb kwa bei nafuu ko apo huduma ipo mfano gb nauza 1000
 
Sasa
Hii ni biashara ya kuuza bidhaa Gani? Unajiungaje na hii biashara? Je hii huduma inaitwaje?
Haya maelezo unayotoa hapa nimeshaeleza unajua ? Haya sasa nakujibu tena

1 Hakuna bidhaa ni huduma
2 huduma hizi zitolewazo kiujumla zinaitwa mjasiriamali box ( ndani ya mjasiriamali box Kuna huduma nyingi pitia comment kuona huduma au tembelea tovuti ya mjasiriamalibox.tigo.co.tz
3 Wewe unakuwa Wakala wa mauzo wa hizo huduma zao Kwa jina la kitaalamu waliolipendekeza watakutambua kama DIRECT SALES AGENT
 
mKuu nataka niwe nawauzia watu gb kwa bei nafuu ko apo huduma ipo mfano gb nauza 1000
Inawezekana ila Hawana kifurushi Cha siku Wana Kwa mwezi ila Mteja anaweza kulipia kidogo kidogo mfano Mteja akachukua GB 30 alafu akawa analipia kila siku au week ilimradi mwezi ukifika awe amekamilisha malipo
 
Mnaohangaika kupata link nenda google andika SME IN BOX utakuja tigo business then click kashangae shangae ukikwama karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…