Salamu Sio muhimu sanaaa soma hapa chini 👇
Biashara hii ni Kwa wakazi wa Dar es salaam
Kama kichwa kinavyosema kama una mtaji wa 1.5M na unafikilia kufanya biashara ya kukuingizia kipato Cha uhakika na kujikwamua au kukutoa kibiashara au Kukuza mtaji wako basi soma maelezo vizuri elewa ukishindwa nitakuelewesha
Nianze Kwa kusema biashara za miamala ya kifedha na biashara nyingi zinazofanywa Kwa kuigana siku Zote zinategemea vitu Vingi ili uweze kufanikiwa kati ya wengi wanaofanya hiyo biashara
MFANO ; Biashara ya miamala ya kifedha unahitaji eneo lenye mzunguko na mtaji mzuri ili kuweza kuhudumia na kutengeneza Faida Kwa miaka ya sasa ukikosa kimoja wapo kufanikiwa kwenye biashara hii ni changamoto sana kwakuwa Faida yake ni ndogo sana inayotegemea hasa mzunguko na mtaji
Hali kadhalika kwenye biashara zingine ndogondgo zozote zenye mtaji kuanzia 1M Hadi 5M
Sasa basi Kuna biashara inapatikana kwenye mitandao ya simu hapa nchini, ila Mimi nitabase na mtandao wa YAS zamani Tigo kwakuwa ninauzoefu nayo na Bado naendesha gurudumu kupitia uwepo wa Hawa jamaa
Hawa jamaa Kuna huduma hutoa Kwa wateja wao ambapo Mteja hulazimika kununua hiyo huduma mara ya kwanza Kwa kuweka dhamana ili Mteja aweze kupewa huduma, sasa basi hii huduma kadiri miaka inavosogea na umuhimu wa Mawasiliano unavyokuwa mkubwa huduma hii imekuwa ikihitajika na watu wengi Kwa kifupi demand ni kubwa Kwa sasa
Sasa biashara Iko wapi hapa ! Sasa kutokana na uhitaji wake ni mkubwa wewe unachopaswa kufanya ni kimoja kuwasaidia kupata huduma wale wote wenye uhitaji Kwa kuwalipia dhamana zao, hii itakulipaje ?
Ndio mana nikasema unahitajika kuwa na mtaji kuanzia 1.5M na kuendeleza hata 10M wewe tu, Hawa jamaa watakulipa kulingana na wateja uliowaunganisha au waliopata huduma kupitia wewe
MFANO Kwa mtu Mwenye mtaji wa 1.5M anauwezo wa kuhudumia watu 50 Hadi 100 Kwa mwezi na ndio mana nikasema kwa mkazi wa dar es salaam n nzuri kwake kutokana na wingi wa wakazi waliopo hapa na advantage ya market dominance ya tigo hapa jijini ila Kwa wewe wa mkoani unaweza kufanya ukiwa hapo ulipo Kwa kuhudumia wateja waliopo eneo lako au hata kukuunganisha na waliopo mjini
( Biashara hii haikuhitaji fremu Bali mtaji pekeee uwe nao na wepesi wako katika kuhudumia )
Malipo utalipwa na kampuni Kwa wateja wote halali uliowaunga na hulipwa Kwa asilimia na asilimia wanayolipa ni 100% ya kile ulichokileta
Kwa maelezo zaidi najibu comment ya mdau yoyote atakaeulizwa swali Kwa wale ambao wangependa maongezi watatuchek PM
VITU MUHIMU VYA KUWA NAVYO ILI KUFANYA BIASHARA HII
* Uwe na UWEZO mzuri wa kutumia smartphone / laptop
* Uwe na UWEZO wa kutumia Excel kwaajili ya kutunza kumbukumbu za wateja wako na miamala
* Uwe na mtaji walau kuanzia 1.5M
BILA KUSAHAU 👇
Ukitaka kujaribu hii biashara na kupima upepo Anza na 400,000/=
LAKINI PIA 👇
Ukiona huna uwezo wa kufanya biashara inayohitaji utulivu na kutumia kichwa usifanye , inahitaji kujua kutengenganisha Faida na mtaji
Mwaka 2025 tuanze Kwa mapambano na tuyafikie mafanikio Kwa uchu mkubwa