1. Wametangaza kubadili Jina na jina linalotumika Kwa sasa ni YAS kweli kabisa lakini ngoja nikujuze kitu mdau wa nguvu kubadilisha jina haimaanishi ndio kubadilisha huduma na KUMBUKA wamebadili brand ambayo ilikuwa inatumika kwenye bidhaa zao so most of things vinaendelea kubadilika mdogo mdogo mfano Tigo pesa app Bado inasoma Tigo pesa unataka kunambia ile Sio ya tigo ? Sio kweli hivi vitu huchukua mda na ndio maana baadhi ya laini Bado zinasoma Tigo haimaanishi Sio za YasKwanza wameshabadilisha kila kitu sio tigo tena ni yas, sasa ww iyo website yenye neno tigo umeitoa wapi
Pili, yani tigo wenyewe wasiitangaze huduma yao uje kutangaza ww, ww ni kama Nani hasa huko tigo hq?
Yani umeweza kuandika paragraph zaidi ya kumi lakini umeshindwa kutaja huduma uyotoa?
Na bado kuna watu watapigwa hela kupitia huyu, hebu tutumie akili zetu vizuri
Mkuu wewe ndiyo ulitakiwa kuzungumza kwa uwazi kama ulivyofanya sasa.Mkuu ulikuwa na nafasi ya kuuliza swali usipoelewa haya Kwa lugha nyepesi
TaperiHapana boss Sio kusajili laini ni huduma zitolewazo Kwa wajasiriamali na zipo nyingi ndani yake wifi ikiwemo
Inaonyeshwa wazi kuwa mara nyingi hu jump kwenye conclusion bila kujipa nafasi ya kutafakari na kujiuliza maswaliTaperi
Isingewezekana kuandika kila kitu na pia sio sawa kuropoka kitu usichokijua kama baadhi ya wadau walivyofanya bila kujua kwasababu tu hawakujipa nafasi ya kuuliza nishasema kama unahisi mahali hujaelewa nitakujibu hii yote kwakuwa nasimamia ninachokiamini ila sipingi mawazo ya wengine pia mkuu 🙏Mkuu wewe ndiyo ulitakiwa kuzungumza kwa uwazi kama ulivyofanya sasa.
🤣🤣🤣🤣🤣 Uhuru wa kuongea unao mkuu ila ukiuliza swali nitakujibuOvyo kabisa.
Nimeshafanya hivo mkuu ila ntakutania chacheTaja baadhi ya huduma au bidhaa ushawishi watu kubofya link yako.
Mkuu kutoa maoni yangu na mtazamo wangu usikufanye kutoa hukumu na kujihalalishia hukumuPorojo nying January hii mzee usije ukawa TAPER
Kwakuwa sihitaji hela yako na hizi huduma zipo na zinatolewa ulizia popote unapoamini ukielewa karibu tujuzane zaidi mkuuWhy should I trust you.?