Unamtaji wa kuanzia 1.5M au ulikuwa na lengo la kufungua biashara ya M-pesa/Tigo pesa ? Achana na hilo wazo kwanza January hii Anza na hii biashara

NyegereBOY

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2021
Posts
225
Reaction score
328
Salamu Sio muhimu sanaaa soma hapa chini 👇

Biashara yenyewe ni hapa

Kuhudumia wateja wa mtandao wa YAS zamani Tigo ambao wanachukua huduma zao za kibiashara kutoka katika kitengo Cha Tigo business au almaarufu kama Mjasiriamali box

HUDUMA HIZO NI
  • Post Paid Bundles
  • 5G unlimited internet
  • FTTX ( internet ya fiber )
  • Bulk sms
  • DIA
  • Mjasiriamali box

Sasa hizi ni huduma wazitoazo na zenye uhitaji mkubwa kwasasa

KAZI YAKO NI NINI

Kuwauzia au kuwapatia wateja huduma hizi na wewe Yas watakutambua kama Wakala wao DSA ( DIRECT SALES AGENT )

CHANGAMOTO YA KAZI HII

Kwakuwa wenye uhitaji ni wengi changamoto wengi wanashindwa kupata Kwa wakati kutokana na kigezo walichoweka ya kutanguliza kulinda account Kwa kila huduma Mteja atakayochagua siku ya kwanza

KWANINI UWE NA MTAJI

Itakusaidia kuwahudumia wateja wengi Kwa kuweka unahisi wa kuwalipia wateja kulinda account ya huduma wanazotaka hivo kurahisisha upatikanaji wa huduma Kwa Mteja wako

MFANO
Ili Mteja ambae ni mfanyabiashara akahutaji huduma ya internet mfano GB 35 huku kwenye mjasiriamali box wanampa Kwa 30,000 lakini wao huingia makubaliano ya KUKUWEKEA Mteja kila tarehe 1 ya kila mwezi huduma alioichagua Mteja mfano Mteja kama amechagua GB 35 kwa mwezi wao kila ikifika tarehe Moja watamuekea kama mkopo hivi alafu Mteja atapaswa kulipia thamani ya huduma kabla mwezi kuisha yaani POST PAID ( Tunakupa kisha utalipia ) sasa basi wameweka kigezo Mteja awe na kulinda account ( security deposit ) kupata huduma ambayo ni thamani sawa na huduma unayochukua mfano unachukua GB 35 ambayo ni 30,000 Kwa mwezi basi security deposit yake ni 30,000 yaani Mteja siku ya kwanza atalazimika kuwa na 30,000 ili apate huduma ila kunakoendelea atalipia ajuavyo iwe Kwa siku week au mara Moja Kwa mwezi ila tu anapaswa kumaliza kulipia kabla ya kufikia mwezi mwingine

MTAJI WAKO UNAFANYAJE KAZI

MFANO ; kama Kuna wateja 50 na kila mmoja anataka GB 35 ambazo thamani yake ni 30,000 Kwa mwezi basi siku ya kwanza wateja 50 wote kiujumla wanapaswa kuwa na 1,500,000/= yaani 30,000 zidisha Kwa 50 idadi ya wateja

Kwakuwa wengi wa wateja hutamani kupata huduma Kisha walipie baadae wengi hukosa hii kulinda account Kwa mara ya kwanza kazi yako wewe ni kumlipia huyu anaehitaji Kwa mara ya kwanza na Hana kianzio
Kwaio ukiwa mfano na mtaji wa 1.5M ukawalipia wateja wenye kuchukua huduma ya 30,000 Kwa mwezi inamaana utalipia wateja 50

UNARUDISHAJE MTAJI NA KUPATA FAIDA
Sasa hapa hesabu na utilize akili ukiweza kumlipia Genuine c customer watakulipa jumla ya commission yote Kwa mda wa miezi 4 ni 200% kwaio ukitumia 1.5M utatengeneza total 3,000,000 ukitoa mtaji ambao ni 1,500,000 utabakiwa na 1,500,000/=

Hapa utakuwa umerudisha mtaji na umetengeneza total 1,500,000 sawa na mtaji ulioutumia

Hapa juu ni marekebisho kama wadau mlivopendekeza 👆

Na hapa chini ni Uzi wenyewe ambao wadau baadhi walishindwa kuuelewa na kuhitaji ufafanuzi wa hapo juu 👇

Biashara hii ni Kwa wakazi wa Dar es salaam

Kama kichwa kinavyosema kama una mtaji wa 1.5M na unafikilia kufanya biashara ya kukuingizia kipato Cha uhakika na kujikwamua au kukutoa kibiashara au Kukuza mtaji wako basi soma maelezo vizuri elewa ukishindwa nitakuelewesha

Nianze Kwa kusema biashara za miamala ya kifedha na biashara nyingi zinazofanywa Kwa kuigana siku Zote zinategemea vitu Vingi ili uweze kufanikiwa kati ya wengi wanaofanya hiyo biashara

MFANO ; Biashara ya miamala ya kifedha unahitaji eneo lenye mzunguko na mtaji mzuri ili kuweza kuhudumia na kutengeneza Faida Kwa miaka ya sasa ukikosa kimoja wapo kufanikiwa kwenye biashara hii ni changamoto sana kwakuwa Faida yake ni ndogo sana inayotegemea hasa mzunguko na mtaji

Hali kadhalika kwenye biashara zingine ndogondgo zozote zenye mtaji kuanzia 1M Hadi 5M

Sasa basi Kuna biashara inapatikana kwenye mitandao ya simu hapa nchini, ila Mimi nitabase na mtandao wa YAS zamani Tigo kwakuwa ninauzoefu nayo na Bado naendesha gurudumu kupitia uwepo wa Hawa jamaa

Hawa jamaa Kuna huduma hutoa Kwa wateja wao ambapo Mteja hulazimika kununua hiyo huduma mara ya kwanza Kwa kuweka dhamana ili Mteja aweze kupewa huduma, sasa basi hii huduma kadiri miaka inavosogea na umuhimu wa Mawasiliano unavyokuwa mkubwa huduma hii imekuwa ikihitajika na watu wengi Kwa kifupi demand ni kubwa Kwa sasa

Sasa biashara Iko wapi hapa ! Sasa kutokana na uhitaji wake ni mkubwa wewe unachopaswa kufanya ni kimoja kuwasaidia kupata huduma wale wote wenye uhitaji Kwa kuwalipia dhamana zao, hii itakulipaje ?

Ndio mana nikasema unahitajika kuwa na mtaji kuanzia 1.5M na kuendeleza hata 10M wewe tu, Hawa jamaa watakulipa kulingana na wateja uliowaunganisha au waliopata huduma kupitia wewe

MFANO Kwa mtu Mwenye mtaji wa 1.5M anauwezo wa kuhudumia watu 50 Hadi 100 Kwa mwezi na ndio mana nikasema kwa mkazi wa dar es salaam n nzuri kwake kutokana na wingi wa wakazi waliopo hapa na advantage ya market dominance ya tigo hapa jijini ila Kwa wewe wa mkoani unaweza kufanya ukiwa hapo ulipo Kwa kuhudumia wateja waliopo eneo lako au hata kukuunganisha na waliopo mjini

( Biashara hii haikuhitaji fremu Bali mtaji pekeee uwe nao na wepesi wako katika kuhudumia )

Malipo utalipwa na kampuni Kwa wateja wote halali uliowaunga na hulipwa Kwa asilimia na asilimia wanayolipa ni 100% ya kile ulichokileta

Kwa maelezo zaidi najibu comment ya mdau yoyote atakaeulizwa swali Kwa wale ambao wangependa maongezi watatuchek PM

VITU MUHIMU VYA KUWA NAVYO ILI KUFANYA BIASHARA HII

* Uwe na UWEZO mzuri wa kutumia smartphone / laptop
* Uwe na UWEZO wa kutumia Excel kwaajili ya kutunza kumbukumbu za wateja wako na miamala
* Uwe na mtaji walau kuanzia 1.5M

BILA KUSAHAU 👇

Ukitaka kujaribu hii biashara na kupima upepo Anza na 400,000/=

LAKINI PIA 👇

Ukiona huna uwezo wa kufanya biashara inayohitaji utulivu na kutumia kichwa usifanye , inahitaji kujua kutengenganisha Faida na mtaji

Mwaka 2025 tuanze Kwa mapambano na tuyafikie mafanikio Kwa uchu mkubwa

Kama una swali direct unaweza uliza kupitia 0653101319 Whatsapp/ call
 
Sijakuelewa ni kusajili line au ni wifi
 
Bora danguro, linalipa zaidi.
 
Tembelea hiyo link Kuna hizo bidhaa zinazouzwa na wao ambazo zina demand kubwa mana nikasema niorodheshe ni nyingi mnoooo ila kwenye Uzi huu nilikuwa najaribu kuelezea nafasi yako ya kupata ujira au Faida Iko wapi

Ukishindwa kuoelewa hiyo link pia ni PM nitakueleza hatua Kwa hatua 🙏
Toa maelezo hapa unauza nini au kutoa huduma gani ili upate pesa. Mambo ya kubonyeza link ndio kuanza kutupeleka kwa wakenya wanahack account za whatsapp na kuliza wanafamilia
 
Attachments

  • FB_IMG_1702650541389.jpg
    FB_IMG_1702650541389.jpg
    59 KB · Views: 9
Salamu Sio muhimu sanaaa soma hapa chini 👇

Biashara hii ni Kwa wakazi wa Dar es salaam

Kama kichwa kinavyosema kama una mtaji wa 1.5M na unafikilia kufanya biashara ya kukuingizia kipato Cha uhakika na kujikwamua au kukutoa kibiashara au Kukuza mtaji wako basi soma maelezo vizuri elewa ukishindwa nitakuelewesha

Nianze Kwa kusema biashara za miamala ya kifedha na biashara nyingi zinazofanywa Kwa kuigana siku Zote zinategemea vitu Vingi ili uweze kufanikiwa kati ya wengi wanaofanya hiyo biashara

MFANO ; Biashara ya miamala ya kifedha unahitaji eneo lenye mzunguko na mtaji mzuri ili kuweza kuhudumia na kutengeneza Faida Kwa miaka ya sasa ukikosa kimoja wapo kufanikiwa kwenye biashara hii ni changamoto sana kwakuwa Faida yake ni ndogo sana inayotegemea hasa mzunguko na mtaji

Hali kadhalika kwenye biashara zingine ndogondgo zozote zenye mtaji kuanzia 1M Hadi 5M

Sasa basi Kuna biashara inapatikana kwenye mitandao ya simu hapa nchini, ila Mimi nitabase na mtandao wa YAS zamani Tigo kwakuwa ninauzoefu nayo na Bado naendesha gurudumu kupitia uwepo wa Hawa jamaa

Hawa jamaa Kuna huduma hutoa Kwa wateja wao ambapo Mteja hulazimika kununua hiyo huduma mara ya kwanza Kwa kuweka dhamana ili Mteja aweze kupewa huduma, sasa basi hii huduma kadiri miaka inavosogea na umuhimu wa Mawasiliano unavyokuwa mkubwa huduma hii imekuwa ikihitajika na watu wengi Kwa kifupi demand ni kubwa Kwa sasa

Sasa biashara Iko wapi hapa ! Sasa kutokana na uhitaji wake ni mkubwa wewe unachopaswa kufanya ni kimoja kuwasaidia kupata huduma wale wote wenye uhitaji Kwa kuwalipia dhamana zao, hii itakulipaje ?

Ndio mana nikasema unahitajika kuwa na mtaji kuanzia 1.5M na kuendeleza hata 10M wewe tu, Hawa jamaa watakulipa kulingana na wateja uliowaunganisha au waliopata huduma kupitia wewe

MFANO Kwa mtu Mwenye mtaji wa 1.5M anauwezo wa kuhudumia watu 50 Hadi 100 Kwa mwezi na ndio mana nikasema kwa mkazi wa dar es salaam n nzuri kwake kutokana na wingi wa wakazi waliopo hapa na advantage ya market dominance ya tigo hapa jijini ila Kwa wewe wa mkoani unaweza kufanya ukiwa hapo ulipo Kwa kuhudumia wateja waliopo eneo lako au hata kukuunganisha na waliopo mjini

( Biashara hii haikuhitaji fremu Bali mtaji pekeee uwe nao na wepesi wako katika kuhudumia )

Malipo utalipwa na kampuni Kwa wateja wote halali uliowaunga na hulipwa Kwa asilimia na asilimia wanayolipa ni 100% ya kile ulichokileta

Kwa maelezo zaidi najibu comment ya mdau yoyote atakaeulizwa swali Kwa wale ambao wangependa maongezi watatuchek PM

VITU MUHIMU VYA KUWA NAVYO ILI KUFANYA BIASHARA HII

* Uwe na UWEZO mzuri wa kutumia smartphone / laptop
* Uwe na UWEZO wa kutumia Excel kwaajili ya kutunza kumbukumbu za wateja wako na miamala
* Uwe na mtaji walau kuanzia 1.5M

BILA KUSAHAU 👇

Ukitaka kujaribu hii biashara na kupima upepo Anza na 400,000/=

LAKINI PIA 👇

Ukiona huna uwezo wa kufanya biashara inayohitaji utulivu na kutumia kichwa usifanye , inahitaji kujua kutengenganisha Faida na mtaji

Mwaka 2025 tuanze Kwa mapambano na tuyafikie mafanikio Kwa uchu mkubwa
Hio huduma itaje sasa😂.......ndio yaleyale ya MTF KALINDA na Q NET.
 
Scam
 
Back
Top Bottom