Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Anhaa kumbe ndo hivyo?
Unajua kuchagua sisy.
Nikiolewa na lofa si utatuombea kwa shemela awe anatupiga tafu?
Hapana sitaki kumtesa laaziz wangu kwa mambo ya kizembezembe mwisho aishiwe nguvu bure....we utapambana tu
 
Ushafungua piem lakini
Nataka nije mwenywe na ‘hey handsome’
Kufunga pm ni hasara.

Mimi sitaki hata kujishughulisha jinsi ya kujua inafungwaje. Kiufuip we njoo tu nakusubiri nimejaa tele Kama kikatuni lodilofa kwenye kale kigari chake.
 
Nakwambia da Joannah roho yake kwatuuu.
Hichi ndo alichokua akikita sema alikua anakuogopa eti
Wewe December lazima urudi mkoleni nakwambia🤣🤣🤣maana kungwi katoa Boko kabisa....huna adabu kwa dada yako kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…