Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Huyo pasua kichwa bado hajakua. Wewe mkubwa mwenzangu hatutoshindwana🤣🤣🤣🤣Nimekutafutia saizi yako umeshindwa kutumia sumaku zako,umeamua umgeukie shangazi....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo pasua kichwa bado hajakua. Wewe mkubwa mwenzangu hatutoshindwana🤣🤣🤣🤣Nimekutafutia saizi yako umeshindwa kutumia sumaku zako,umeamua umgeukie shangazi....
Hapana sitaki kumtesa laaziz wangu kwa mambo ya kizembezembe mwisho aishiwe nguvu bure....we utapambana tuAnhaa kumbe ndo hivyo?
Unajua kuchagua sisy.
Nikiolewa na lofa si utatuombea kwa shemela awe anatupiga tafu?
😆😆😆😆Ubaya unauleta wewe kuniita kaka, mimi aio kakako tuelewane kwanza😀😆😆
Kufunga pm ni hasara.Ushafungua piem lakini
Nataka nije mwenywe na ‘hey handsome’
Nimekunusuru sasa uje kunishukuru😀😆😆😆😆
Kumbe alikua anataka tu kuteleza
Wakati mie nishatoa taarifa kule kwetu
Mtu mhimu sana wewe. Nikiona meseji yako huwa nafrahi na nafsi hufrahia uwepo wako.Thank you Mr. Muu [emoji3059]
Salamu zako pia [emoji109][emoji3590]
Ndio nilikua natype hapa subjectKufunga pm ni hasara.
Mimi sitaki hata kujishughulisha jinsi ya kujua inafungwaje. Kiufuip we njoo tu nakusubiri nimejaa tele Kama kikatuni lodilofa kwenye kule kigari chake.
Mimi Nina mzee mwenzangu tunakula pension tu Sasa hatutaki vuyo😄😄😄😄Huyo pasua kichwa bado hajakua. Wewe mkubwa mwenzangu hatutoshindwana
Subiria ukue kijana huu sio wakati wako😀😀😀Sasa haya mambo ya kuitana kuchukua mizogo yanatoka wapi Tena mkuu?
Ndio maana nakukubaligi🤭Nimekunusuru sasa uje kunishukuru😀
Huyo mzee wako njoo nae. Wote nawakubali.Mimi Nina mzee mwenzangu tunakula pension tu Sasa hatutaki vuyo😄😄😄😄