Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Haha nimekupata uzuri kabisa, ila nafikiri wanawake wengi wanaposema wanapenda dark guys, unaelewa wanamaanisha nini
Wewe ndo huwaelewi mtu yeyote ambae sio light skin nimekupa mfano wa #zari basi huyo ni dark skinned

DARK skin ina range tofautitofauti
 
😂😂😂 basi uwe unaamua kuwa busy huko. Kuna watu wamekosa kazi huku, ni wanafatilia nani yuko online, nani hana bando hayuko online.
Niwe busy, nisiwe busy mimi ndio mhusika wa maisha yangu kipi nifanye na kipi niache. Siwezi kuwa bendera fuata upepo kufanya kila atakacho mtu.
 
Back
Top Bottom