Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Huyo hana chake, Alikuwa anazengea zengea tu 😅😅
Bro, kuna kiumbe humu alinifuata pm eti anauliza...
ERoni Analyse Extrovert, Glenn
Mnatumia nini kuwavuta warembo jf?
Nilicheka sana.
Nikamwambia mimi hata sina demu jf na sina mpango...huu ni utani tu.
Hajaamini kila saa anaomba dawa.
Analyse kama una dawa nikuunge na mdau umsaidie mimi sina kitu😂😂😂
 
Sasa sisi wa kimya kimya ndiyo wapasia nyavu hatari.

Analyse mademu si wanampendea stori zake. Ngoja siku aishiwe madini. 😅
 
Bro, kuna kiumbe humu alinifuata pm eti anauliza...
ERoni Analyse Extrovert, Glenn
Mnatumia nini kuwavuta warembo jf?
Nilicheka sana.
Nikamwambia mimi hata sina demu jf na sina mpango...huu ni utani tu.
Hajaamini kila saa anaomba dawa.
Analyse kama una dawa nikuunge na mdau umsaidie mimi sina kitu😂😂😂
Ni utani tu aisee, toka nimejiunga JF huko pm sijawahi kwenda mm. 😅😅

Nadhani labda mzabzab Behaviourist ERoni na Extrovert wanaweza kumsaidia, hawa ndio watakuwa na dawa. Hata mm naiomba hiyo dawa
 
Nikikuonanaga popote nakosa uvumilivu moyo wapasuka pwaa, umenifanyia nini kipenzi? Msukuma wangu🤣🤣🤣🤣
Haujui nlichofanya??? Hadi uone hirizi kwenye mkia wa fisi 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom