Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Haha nimekupata uzuri kabisa, ila nafikiri wanawake wengi wanaposema wanapenda dark guys, unaelewa wanamaanisha nini
Wewe ndo huwaelewi mtu yeyote ambae sio light skin nimekupa mfano wa #zari basi huyo ni dark skinned

DARK skin ina range tofautitofauti
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ basi uwe unaamua kuwa busy huko. Kuna watu wamekosa kazi huku, ni wanafatilia nani yuko online, nani hana bando hayuko online.
Niwe busy, nisiwe busy mimi ndio mhusika wa maisha yangu kipi nifanye na kipi niache. Siwezi kuwa bendera fuata upepo kufanya kila atakacho mtu.
 
Masikini Satoh Hirosh ina maana hana chake tena kwa Lenie ?
Oi Glenn naona mdogo wetu jimbo kalishindwa kabisaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
You guys now are too much. πŸ˜…πŸ˜…

Ninaugulia maumivu ya kufungwa Jana,mniache. Lenie si keshawaambia ana njemba humu ya kuitwa Anaylse?

Glenn acheni kunisakama. πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…