Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Nakubusu dadaangu nakupenda sana na huyo paka wako 😘😍πŸ₯°πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ€—πŸ€—

-huna baya na mtu.
-mcha Mungu.
-mchapa kazi.
-mzuri wa sura na umbo πŸ˜…πŸ˜œ
-usiye na makuu.
-mshauri mzuri.
-mcheshi.
-ww sio cheap
Daaaah mumeo anafaidi sana.

Huna hata mdogo wako wa kike unisogezee hapo πŸ™‚πŸ™‚ vizuri kula na mimi kaka yako bana πŸ˜‡β˜ΊοΈπŸ˜Ž maana wife materials mmebaki wachache sana πŸ˜ƒ 😁😁

 
Thank you,nakupenda piaaa ❀️
 
Ila hii rangi ya school bus kwenye maandish umejua kunikomesha mdogo wangu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…