Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Ulikuwa lazima ule ban....sio kwa rangi hizo [emoji23]Nakubusu dadaangu nakupenda sana na huyo paka wako [emoji8][emoji7][emoji3059][emoji8][emoji8][emoji847][emoji847]
-huna baya na mtu.
-mcha Mungu.
-mchapa kazi.
-mzuri wa sura na umbo [emoji28][emoji12]
-usiye na makuu.
-mshauri mzuri.
-mcheshi.
-ww sio cheap
Daaaah mumeo anafaidi sana.
Huna hata mdogo wako wa kike unisogezee hapo [emoji846][emoji846] vizuri kula na mimi kaka yako bana [emoji56][emoji3526][emoji41] maana wife materials mmebaki wachache sana [emoji2] [emoji16][emoji16]
View attachment 2604102View attachment 2604103
Ningeshangaa nikukose uzi huuJifunze kwa Achraf hakimiπ€£π€£π€£
Mpaka hii hali ya hewa huku Kaskazini ikate, tutashuhudia mengi mtani.π€£π€£mademu wa huku wana roho mbaya sana wanaona mvua zilivyokubwa na wanajua kabisa nalea nina kachanga. Hakuna hata mmoja aliyejitokea kunitaja
Depal hadi wewe mtan π€£π€£π€£
Ni poa sana mama, uko poa ww..?Mambo mkuu[emoji2960]
hali ya hewa hii ni ya kupata mtotoπMpaka hii hali ya hewa huku Kaskazini ikate, tutashuhudia mengi mtani.
Ila Lenie amenipotezea π₯Chuma hicho
Tatizo harespond text zanguMtumie na ya kutolea π
Sera zangu tamu Zipo kwa ajili yako, hapa wavimba macho wengi watagonga ulimbo unase kama chiriku. Njoo PM nikupe yaliyobaki.Mwanga sera hapa nikizikubali nakuja PM mwenywe
ππππSera zangu tamu Zipo kwa ajili yako, hapa wavimba macho wengi watagonga ulimbo unase kama chiriku. Njoo PM nikupe yaliyobaki.