Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Umenikumbusha zamani story ya firigis nilienda kumtbelea mpenzwangu mahali alikuwa na wenzie walikuwa na mradi wanaosimamia hivo wanaishi km kambin na msichanawao wa kuwapikia
Wakaleta kuku wawil wakachinja mm ndo mpishi nikipika kuku lazima Nile firigis ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ natak kupskua nifanye yangu yule msichana akadakia et nisile kule kwao ni mwiko mwanamke kula firigis na maini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Wanakula wanaume
Weee nikamwambia km ni mwiko mm ndo sufuria firigis nakula alikuwa mpole km hakupenda hivi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ila nilikula na vitako nilivitoa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ulikosea sana๐Ÿคฃ usije kula chakula sehemu wanasem mwiko. Familia nyingi za Africa au nyumba nyingi nilizopita firigisi ilikuwa ni ya baba๐Ÿ˜€
Ukoo wangu ni mwiko kula maini. Sijawah kula Ini toka nimezaliwa na hata sijui ladha yake. Nikienda kwa mtu nikakuta wamepika maini naondoka.

Ila huyo msichana alikuw anatoka na mchumba wako alitaka kumtengea firigisi ukajaribu๐Ÿ˜€
 
Hivo vyote vinakiwaga mwanzo kabisa nafanyaga supu ya kuonja ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Supu unaweka nini? nifundishe na mimi nipike sizipendi Zina shombo sana. Kuku na samaki wana shombo wananikera sana๐Ÿ˜€
 
Ulikosea sana๐Ÿคฃ usije kula chakula sehemu wanasem mwiko. Familia nyingi za Africa au nyumba nyingi nilizopita firigisi ilikuwa ni ya baba๐Ÿ˜€
Ukoo wangu ni mwiko kula maini. Sijawah kula Ini toka nimezaliwa na hata sijui ladha yake. Nikienda kwa mtu nikakuta wamepika maini naondoka.

Ila huyo msichana alikuw anatoka na mchumba wako alitaka kumtengea firigisi ukajaribu๐Ÿ˜€
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃWeee mwiko kwenye kabila lao mtuwangu tulikuwa kabila moja Hana mwiko yule ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€nipike kuku nisipokula firigis roho haitulii ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwetu nilikatazwa kula shingo ya kuku anakula aliechinja tu au mwanaume na sikuwahi kula kuku akichinjwa nyumbni lakin mgahawani nazikuta srhemu zingine ugenini nazikuta na nakula bila shida Ilikuwa ujinga tu bhna๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kwa jinsi ulivyoeleza kitu ambacho unaonekana huli ni sauti ya kuku na manyoa tu๐Ÿ˜ฌ kuanzia nyama mpaka mifupa huachi kitu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ unavunja mpaka miiko ya familia๐Ÿ˜€
 
Ukitaka asiwe na shombo kuku wakat unaosha waoshe na maji Yale maji weka malimao limao Yan wakuwa hawana harufu kabisa
Jana niliweka vinegar kabisa nisipate shombo. Nilikuw namtengenezea mke wangu supu ana katoto kachanga ila shombo halitoki. Au kuku chotara ndio walivy๐Ÿ˜€
 
I mean no malice to nobody, Sera zetu ๐Ÿ‘‰ Panga mkononi
๐Ÿ‘‰ Roho begani

2. I love food, games, movie and music
But mkuu nisamehe bure ile day nilikusemea kwa uzi braza chaliii am so sorry

Achana na hio 'i mean malice to nobody'

Am sorry tho ๐Ÿ™
 
Back
Top Bottom