Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
To yeye huyo mganga wako usimwache ๐ ๐ ๐To yeye anakismat chake jamn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
To yeye huyo mganga wako usimwache ๐ ๐ ๐To yeye anakismat chake jamn
Unataka umpelekee moto dk 50 non-stop?Usiache mbachao Kwa msala upitao.
Kuna watu walifia Ndani baada ya Nyumba zao kuungua moto Kwa sababu tu ya milango na mageti ya Nyumba zao.
Namtaka Ecstasy Queen
Hivo vyote vinakiwaga mwanzo kabisa nafanyaga supu ya kuonja ๐คฃ๐คฃ๐คฃHahah ukija kunisalimia kitako kitakuw chako ๐miguu, utumbo na vichwa nitakufungashia ukale nyumbani ๐๐
Ulikosea sana๐คฃ usije kula chakula sehemu wanasem mwiko. Familia nyingi za Africa au nyumba nyingi nilizopita firigisi ilikuwa ni ya baba๐Umenikumbusha zamani story ya firigis nilienda kumtbelea mpenzwangu mahali alikuwa na wenzie walikuwa na mradi wanaosimamia hivo wanaishi km kambin na msichanawao wa kuwapikia
Wakaleta kuku wawil wakachinja mm ndo mpishi nikipika kuku lazima Nile firigis ๐๐ natak kupskua nifanye yangu yule msichana akadakia et nisile kule kwao ni mwiko mwanamke kula firigis na maini ๐๐๐Wanakula wanaume
Weee nikamwambia km ni mwiko mm ndo sufuria firigis nakula alikuwa mpole km hakupenda hivi ๐๐ila nilikula na vitako nilivitoa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Supu unaweka nini? nifundishe na mimi nipike sizipendi Zina shombo sana. Kuku na samaki wana shombo wananikera sana๐Hivo vyote vinakiwaga mwanzo kabisa nafanyaga supu ya kuonja ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Siku hizi umekuw mchina. Kumbe Kingsmann ndio anamilik chombo๐Watu hamlali
๐คฃ๐คฃ๐คฃWeee mwiko kwenye kabila lao mtuwangu tulikuwa kabila moja Hana mwiko yule ๐๐nipike kuku nisipokula firigis roho haitulii ๐๐Ulikosea sana๐คฃ usije kula chakula sehemu wanasem mwiko. Familia nyingi za Africa au nyumba nyingi nilizopita firigisi ilikuwa ni ya baba๐
Ukoo wangu ni mwiko kula maini. Sijawah kula Ini toka nimezaliwa na hata sijui ladha yake. Nikienda kwa mtu nikakuta wamepika maini naondoka.
Ila huyo msichana alikuw anatoka na mchumba wako alitaka kumtengea firigisi ukajaribu๐
Ukitaka asiwe na shombo kuku wakat unaosha waoshe na maji Yale maji weka malimao limao Yan wakuwa hawana harufu kabisaSupu unaweka nini? nifundishe na mimi nipike sizipendi Zina shombo sana. Kuku na samaki wana shombo wananikera sana๐
Kwa jinsi ulivyoeleza kitu ambacho unaonekana huli ni sauti ya kuku na manyoa tu๐ฌ kuanzia nyama mpaka mifupa huachi kitu๐คฃ๐คฃ unavunja mpaka miiko ya familia๐๐คฃ๐คฃ๐คฃWeee mwiko kwenye kabila lao mtuwangu tulikuwa kabila moja Hana mwiko yule ๐๐nipike kuku nisipokula firigis roho haitulii ๐๐
Kwetu nilikatazwa kula shingo ya kuku anakula aliechinja tu au mwanaume na sikuwahi kula kuku akichinjwa nyumbni lakin mgahawani nazikuta srhemu zingine ugenini nazikuta na nakula bila shida Ilikuwa ujinga tu bhna๐คฃ๐คฃ
unlocWatu hamlali
Jana niliweka vinegar kabisa nisipate shombo. Nilikuw namtengenezea mke wangu supu ana katoto kachanga ila shombo halitoki. Au kuku chotara ndio walivy๐Ukitaka asiwe na shombo kuku wakat unaosha waoshe na maji Yale maji weka malimao limao Yan wakuwa hawana harufu kabisa
But mkuu nisamehe bure ile day nilikusemea kwa uzi braza chaliii am so sorryI mean no malice to nobody, Sera zetu ๐ Panga mkononi
๐ Roho begani
2. I love food, games, movie and music