Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
To yeye huyo mganga wako usimwache π π πTo yeye anakismat chake jamn
Unataka umpelekee moto dk 50 non-stop?Usiache mbachao Kwa msala upitao.
Kuna watu walifia Ndani baada ya Nyumba zao kuungua moto Kwa sababu tu ya milango na mageti ya Nyumba zao.
Namtaka Ecstasy Queen
Hivo vyote vinakiwaga mwanzo kabisa nafanyaga supu ya kuonja π€£π€£π€£Hahah ukija kunisalimia kitako kitakuw chako πmiguu, utumbo na vichwa nitakufungashia ukale nyumbani ππ
Ulikosea sanaπ€£ usije kula chakula sehemu wanasem mwiko. Familia nyingi za Africa au nyumba nyingi nilizopita firigisi ilikuwa ni ya babaπUmenikumbusha zamani story ya firigis nilienda kumtbelea mpenzwangu mahali alikuwa na wenzie walikuwa na mradi wanaosimamia hivo wanaishi km kambin na msichanawao wa kuwapikia
Wakaleta kuku wawil wakachinja mm ndo mpishi nikipika kuku lazima Nile firigis ππ natak kupskua nifanye yangu yule msichana akadakia et nisile kule kwao ni mwiko mwanamke kula firigis na maini πππWanakula wanaume
Weee nikamwambia km ni mwiko mm ndo sufuria firigis nakula alikuwa mpole km hakupenda hivi ππila nilikula na vitako nilivitoa π€£π€£π€£
Supu unaweka nini? nifundishe na mimi nipike sizipendi Zina shombo sana. Kuku na samaki wana shombo wananikera sanaπHivo vyote vinakiwaga mwanzo kabisa nafanyaga supu ya kuonja π€£π€£π€£
Siku hizi umekuw mchina. Kumbe Kingsmann ndio anamilik chomboπWatu hamlali
π€£π€£π€£Weee mwiko kwenye kabila lao mtuwangu tulikuwa kabila moja Hana mwiko yule ππnipike kuku nisipokula firigis roho haitulii ππUlikosea sanaπ€£ usije kula chakula sehemu wanasem mwiko. Familia nyingi za Africa au nyumba nyingi nilizopita firigisi ilikuwa ni ya babaπ
Ukoo wangu ni mwiko kula maini. Sijawah kula Ini toka nimezaliwa na hata sijui ladha yake. Nikienda kwa mtu nikakuta wamepika maini naondoka.
Ila huyo msichana alikuw anatoka na mchumba wako alitaka kumtengea firigisi ukajaribuπ
Ukitaka asiwe na shombo kuku wakat unaosha waoshe na maji Yale maji weka malimao limao Yan wakuwa hawana harufu kabisaSupu unaweka nini? nifundishe na mimi nipike sizipendi Zina shombo sana. Kuku na samaki wana shombo wananikera sanaπ
Kwa jinsi ulivyoeleza kitu ambacho unaonekana huli ni sauti ya kuku na manyoa tuπ¬ kuanzia nyama mpaka mifupa huachi kituπ€£π€£ unavunja mpaka miiko ya familiaππ€£π€£π€£Weee mwiko kwenye kabila lao mtuwangu tulikuwa kabila moja Hana mwiko yule ππnipike kuku nisipokula firigis roho haitulii ππ
Kwetu nilikatazwa kula shingo ya kuku anakula aliechinja tu au mwanaume na sikuwahi kula kuku akichinjwa nyumbni lakin mgahawani nazikuta srhemu zingine ugenini nazikuta na nakula bila shida Ilikuwa ujinga tu bhnaπ€£π€£
unlocWatu hamlali
Jana niliweka vinegar kabisa nisipate shombo. Nilikuw namtengenezea mke wangu supu ana katoto kachanga ila shombo halitoki. Au kuku chotara ndio walivyπUkitaka asiwe na shombo kuku wakat unaosha waoshe na maji Yale maji weka malimao limao Yan wakuwa hawana harufu kabisa
But mkuu nisamehe bure ile day nilikusemea kwa uzi braza chaliii am so sorryI mean no malice to nobody, Sera zetu π Panga mkononi
π Roho begani
2. I love food, games, movie and music