Nimecheka sanaaa we baba wa mtoto mzuriii
Umefichwa sana mremboNimecheka sanaaa we baba wa mtoto mzuriii
Pole sana mkuuKIIINDI NI MGENI JF NILIVUTIWA NA DADA FLANI IVI, NILICHUKUA HATUA YA KUMFUATA PM LAKIN AKAWA SLOW SANA, BAADA YA MUDA NILIGUNDUA WANAWAKE WA HUMU UKIWAFUATA INBOX WANAJUA WE MUHUNI NA NDO TABIA YAKO SO NIKAMG'OA NANGA ILA KWA MWANDIKO TU INONEKANA NI BINTI MZURI NA MKWELIπ
unasaliti chama sio
hapana hapanaunasaliti chama sio
Njoo PM[emoji4]usijali ngoja nikupange wangu
tafuta demu wwhapana hapana
Kasie Popote ulipo Maua yako haya hapa πΊππ»πΌπ· Kwa niaba ya yule jamaa wa JKTπ
Sasa hapo umependa au umejipendekeza πUn
awajua warombo ndugu yangu hakawii kuniroga πππ
niwe nao wangapi sasa ? negative displacement pumptafuta demu ww
Sio mlinz tu nitakuwa wako hilo jukumu la kukulinda lipo ndani ya upendo π₯°Half american naomba uwe mlinz wangu...nimegundua kuna mkakati humuπ
Na wa zaidi ya hivi je?Kama yupo wa hivi akuje namuita View attachment 2600309
Kiukweli shangazi yeyote mwenye kiwango hiki cha ulimbwende ni asali kunako moyo wa baharia. Kama unajijua una kamvuto haka jua tu uko kwenye uchumi wa kati View attachment 2601067
Aje anakimbia πNa wa zaidi ya hivi je?
ππππ barikiwa kwa upendo wa Agape....Sio mlinz tu nitakuwa wako hilo jukumu la kukulinda lipo ndani ya upendo π₯°