Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

KIIINDI NI MGENI JF NILIVUTIWA NA DADA FLANI IVI, NILICHUKUA HATUA YA KUMFUATA PM LAKIN AKAWA SLOW SANA, BAADA YA MUDA NILIGUNDUA WANAWAKE WA HUMU UKIWAFUATA INBOX WANAJUA WE MUHUNI NA NDO TABIA YAKO SO NIKAMG'OA NANGA ILA KWA MWANDIKO TU INONEKANA NI BINTI MZURI NA MKWELI😔
Pole sana mkuu
Mtag humu halafu umzamie piem tena
 
Kiukweli shangazi yeyote mwenye kiwango hiki cha ulimbwende ni asali kunako moyo wa baharia. Kama unajijua una kamvuto haka jua tu uko kwenye uchumi wa kati View attachment 2601067

Na kuna mashangazi, hilo tabasamu ndo taswira yao asilia bila makeups wala nywele iliyochomwa/iliyounguzwa....

Sema wanakuwa na nyama nyama za kupigisha kale kakelele ka rinda za ndani (pichu na bra)....
 
Back
Top Bottom