Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?


financial services πŸ₯°
 
aisee kweli uchawi, Gily kaa mbali na mimi πŸ€“
Sasa mbona hukakemeaπŸ˜€ ukiingia ndani mtego huo kaa kwenye kochi. Hivi namjua Half american toka akiwa mdogo. Mama akituogesha alikuw anakimbia nje uchi tu mda wote hatako kivaa nguoπŸ˜€ hajawah Ata Sali rozari leo hii anataka ukasali nae chumbani .
Mpenzi wangi Leejay49 nakuonea huruma. Unajua huyu jamaa huwa anakula bijiji na karanga wakati mmoja 😬😬🀣
 
Mambo makubwa haya πŸ˜„ yananiogopesha mwenzio. Yanakuwaga matamu mwanzoni halafu baadae yanaumiza.
Hakuna ajuaye KESHO mama , Kesho hatujaahidiwa, Leo ni yetu nipe nafasi kwenye moyo wako.

Niite Nami nitaitika , nkuoneshe mambo matamu usiyoyajua Kwa mapana Zaidi .🀩
 
kwahiyo, unataka kusemajeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…