Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Hata siwindi nasubiria niangukiwe na zali la mentally.
Mzee baba una kijiji chako humu, mtaani ndio usiseme, bila shaka unamwaga mapovu shahawa nzito hakuna tena🤣🤣🤣🤣🤣
Juzi napiga shoo basi Ile bao la Tatu umetoka upepo tuuuu hahahah Bidada akabaki ananicheka sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ila humu Sina ,mtaani Banaaa, mtaaani baba wee angalia, Nina majina kwenye simu yapatayo 1300+ na katika hayo mademu wanachukua 75%.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbwa wewe
Mkeo huwa anaambulia maji, povu na upepo tu🤣🤣🤣🤣
 
Kama mjuavyo, kazi ya moyo si kusukuma damu tu. Kazi nyingine kubwa ya moyo ni kupenda, na kila mtu anapenda kupendwa.​

Na humu ndani kuna watu wana hisia na mtu fulani (ID), ila wanashindwa kuongea.

Kwa kutumia uzi huu, funguka ili naye ajue. Inawezekana na yeye ana hisia na wewe ila anashindwa pa kuanzia, pia ni vizuri ukatoa na sababu zilizo kushawishi.

Wa kwangu anajulikana. Haya kazi kwenu, tiririka.​
Mapenzi hayaji bila kuona picha na kusikia sauti na kuona uso kuona angalau mwendo.Kwa maana hiyo hapa JF kanuni ya moyo haifanyi kazi kwa sababu hata ukiona huwa si halisi.
 
Back
Top Bottom