Really??? Kukupenda imekuwa usumbufu... You mis a lot kutoka kwangu , mimi siyo umbwa kama hizo umbwa zingine[emoji23]
mbona mrembo huyu.... ๐ si atakua chama cha upinde...๐View attachment 2601791
Vipi upo kama huyu? Unandevu kama huna usinisumbue PM ๐๐๐
Hamna sio , ni actor wa #Kenya anaitwa #NickMutuma HE ISSA MAN ๐mbona mrembo huyu.... ๐ si atakua chama cha upinde...๐
Daaahh ningekuja PM mwenywe tatizo umejielezea sana kabla ya tongozo
๐๐๐๐๐Hiyo swaga hutoboi au muulize @manyanza๐คฃ
Huyo Lenie kwa mkono wake kaandika anakupenda wewe na Mimi Ni rafiki take tu.Utakuwa unanionea Bure kaka. Mali nimeikuta haina mtu, na hakuna aliyemtaja. Kosa langu nn? ๐ ๐
Mkuu ina maana hujastukia tu kuwa da Joannah yeye ndo anakutaka ila ananitumia mim kama kivuli๐๐.Joan anakutakia mambo mazuri unakataaje mrembo, ๐,, au umesahau mkataa pema pabaya panamuita?
Wewe huyu huyu?๐๐๐๐๐
Acha kumuharibia mwenzio kaka angu
๐๐๐๐Wewe huyu huyu?
Yaani mapenzi bila pesa kusima kwanza?๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃKweli mkataa pema pabaya panamuita...kwa hiyo Mimi kukuonyesha mgodi unaotembea umeniona mwehu?Shauri yako Extrovert shem Kama shem najua kwako hakishindikani kitu mtunze mdogo wanguMkuu ina maana hujastukia tu kuwa da Joannah yeye ndo anakutaka ila ananitumia mim kama kivuli๐๐.
Nikwambie kitu shem,ukimpata dada yangu umepata mke mwema.
Hana kasoro mi shida tupu๐๐
Wewe pm njoo tu,kupendana tutapendana juu kwa juu.Daaahh ningekuja PM mwenywe tatizo umejielezea sana kabla ya tongozo
Umeniogopesha aiseeee siji tena
Carleen dada ndoa ilikua tuwe nayo mwaka huu ila nimeahirisha๐
Ni mapensii sio mapenzi๐๐๐๐๐๐๐
Mbona mie sipendi pesa jaman
Niko na mapensi ya kweriiiiiii๐
Tatizo upendo Kaka.Mkuu mbona pisi zipo nyingi tu humu? Achana na hiyo kampeni ๐ ๐