Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Mkuu naomba uwasilishe kilio changu kwa Palina kama alivyoshauri kuwa wewe ndiye upeleke hoja zangu kwake.... Mkuu nimeshindwa hata kwenda kucheki gemu ili mradi tu nijue hatima yangu na huyu mrembo.
Nitaongea naye, subiri anifungulie mlango; muhimu tu asiniteke, mabinti wa siku hizi wanatuteka sisi wazee
 
Back
Top Bottom