Sax
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 3,578
- 6,740
🙂 🙂 duh!Weee u dj hapana, asije kutupigia nyimbo za singeli bure akatuharibia sherehe.
Huyo tumuweke kwenye vinywaji, ili apige vyombo kutoa machungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙂 🙂 duh!Weee u dj hapana, asije kutupigia nyimbo za singeli bure akatuharibia sherehe.
Huyo tumuweke kwenye vinywaji, ili apige vyombo kutoa machungu
Sawa, vip umetajwaHapana sina any bad intention
Ukianza kutumika kwenye hayo maeneo mengine
Tatizo hataki maneno, anataka mzikiNasikia Unataka kumsomesha shemeji yako bila kunipa taarifa,je Unataka kunisuprise siku ya graduation?
Hamna hata 😃Sawa, vip umetajwa
Mi wananiogopa😂😂.Vipi sijapata shemeji bado?Leo ni chagulaga!
🥲 kumbe nilikuwa wa mchanaHuyo dogo anapenda slope, si anaskiaga story za mashangazi kutunza viben10.
Naomba kukutaja Analyse 🥰
Atakayejitokeza mwingine ni batili
😅Mi wananiogopa😂😂.
Ukinipenda wewe dada yangu inatosha😍
Pole, tusubiri asubuhi tu aisee. Sasa jua lishazama😂Hamna hata 😃
Tulia wewe kama ni ndevu hapa ni Pakstan[emoji23]Sawa, vip umetajwa
Say no more,, niko hapa [emoji41]Mi wananiogopa[emoji23][emoji23].
Ukinipenda wewe dada yangu inatosha[emoji7]
Huyo kwanza atakua kwenye mitihani😂
niwe naitwa 'uncle' 😂
Yaani ndio shida hiyo, moyo wake sijui una ukubwa gani hadi atupange hivyoYuko vizuri Ngosha kwenye mahaba na matunzo uchoke wewe,sema tu akiona mrembo mwingine Tena naye anampendaaaa yaani itabidi tuunganishe ulinzi tumbane kila kona