Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

😂😂 Kwani Antonnia na mwenzio Aaliyyah mna nini?

Ndio natuma maombi hapa kwa Bantu Lady afanye wepesi.

Rafiki yupo hakuna tatizo yani.
😂😂Sisi hatuna shida na tumejikoki yaani wew lete hayo mabaki mabaki hata watoto wa shangazi Yako upande wa bibi hatuna baya nao au nasema uongo ndugu
Antonnia
 
Back
Top Bottom