Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Mimi sina kismati mpaka leo sijaopolewa πŸ€” kama wewe mkuu Glenn yuko sahihi sana unopoa mishangazi utakavyo πŸ˜€
Sio kweli mkuu, humu ndani jokes nyingi tu. Ngoja sasa nikupe Siri
Half american account yake nyingine ni Leejay49

Glenn account yake nyingine ni Evelyn Salt

Analyse account yake nyingine ni Lenie

Gily account yake nyingine nadhan unaijua πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Sasa zile comments zote unazoona, kila mmoja wetu alikuwa anacomment na account moja,Kisha anaenda kujijibu na account nyingine πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

So usipate stress mkuu, na ww fungua account yako ya kuwapanikishia watu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Natania, lakini nipo siriasi πŸ˜…πŸ˜…
 
Tunajichagua 🀣🀣🀣
 
We dogo sio mtu, nauonea huruma mtaa wako🀣🀣🀣🀣
 
Jana nilikuwa nae mahali tunapata kahawa.

Lenie Ni mwanangu pia.
Sasa mbona unajichanga sio ulikuwa unatoa maji ndani huko Bonyokwa? Maana hata Lenie alishangazwa na kauli yako ile Kumbe mlikuwa mna enjoy weekend tu? Usiwe mtu wa makasiriko Kijana na ndio maana Glenn kakuambia Be a Man πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom