Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Hapana dada, Glenn ndio kayaanzisha yote haya 😅😅
Mkuu tulia usipoangalia ntakuharibia siku huku nikicheka😂😂😂😂
Mimi ni fala sana lakini usipuuze kila kitu nitaniapo nisome vizuri na taratibu..huwa nafungua code hivihivi kijingakijinga...nakubali mimi mjinga pia lakini usibweteke kwa hilo😂😂😆😂
 
Kama yupo wa hivi akuje namuita View attachment 2600309

IMG_5843.jpg

Nipo wa hivi [emoji23]
 
Kama mjuavyo, kazi ya moyo si kusukuma damu tu. Kazi nyingine kubwa ya moyo ni kupenda, na kila mtu anapenda kupendwa.​

Na humu ndani kuna watu wana hisia na mtu fulani (ID), ila wanashindwa kuongea.

Kwa kutumia uzi huu, funguka ili naye ajue. Inawezekana na yeye ana hisia na wewe ila anashindwa pa kuanzia, pia ni vizuri ukatoa na sababu zilizo kushawishi.

Wa kwangu anajulikana. Haya kazi kwenu, tiririka.​
nana_ mwanamke mmoja hivi mwenye nyama zake.
 
Nimekutukana 😀
Kwa haraka haraka, unaweza hisi hizi ni account mbili, kumbe ni mtu mmoja anacheza na akili zetu 😅😅😅

Hebu tumeni kapicha tu pruvu
 
Back
Top Bottom