πππ, Kwanini mkuuπHujatulia weweπ
huyo pia, pamoja na Mwachiluwi πunamkataa mshikaj wako Uboboh
Wew ndo mtu Yani mtu had unatembea kituakizito Kwa ajili ya kumbeba mtu na mambo yake kumbe mwenzio hata ukinunua kijiko kipya ananuna hapna aiseeMtu akikushirikisha ishu yake nyeti means amekuamini so usimuangushe na ndivyo nilivyo.
Pole mwaya, ila nilichogundua kwenye urafiki mkiwa wote real bila unafiki mambo yanaenda.Hongereni sana wengine hatujabahatika unakuta rafikyako nae ana rafikiyake shida zinaanzia hapo now tumetuliza makomwe yetu tuππ
Ww soma acha kukesha hapa jf utadisc nakwambia ππππ nimemuona mwezako leo kwenye gar anakalili definition ya communication skills hamko serioushuyo pia, pamoja na Mwachiluwi π
Yani Bora hivo marafiki wachachesana sikuhizNinaye lala nae kitanda ki1 na kumvulia nguo zote na kuwa mtupu km nilivyo zaliwa, huyo ndo rafiki angu, couz anaujua undani wangu.
[emoji625][emoji625]
Ndo maana ake shangaziiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aunt Yani Inakera unampenda rafiki unaficha aibu zake nyingi tu ila wew hata akikushauri kitu kidogo ujue alishaanza kukutangaza inachosha sikuhiz najifungia zangu ndani naperuz jf nikiwa na ubuyu nitampa bbywangu inatosha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baba yangu nikiwa mdogo sliwai niambia ni lazima kuwa na rafiki tulia kwenuPole mwaya, ila nilichogundua kwenye urafiki mkiwa wote real bila unafiki mambo yanaenda.
Kikubwa tu vibe zenu ziendane, ila ukiona mtu anazingua haifai kabisa kuforce urafiki.
Niite nakujia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikua najiandaa nikuite (uani)[emoji23][emoji23][emoji23]
Ushanielewa?
Mnawatoaga wapi πWew ndo mtu Yani mtu had unatembea kituakizito Kwa ajili ya kumbeba mtu na mambo yake kumbe mwenzio hata ukinunua kijiko kipya ananuna hapna aisee
mdogo wangu mimi ni geniusπWw soma acha kukesha hapa jf utadisc nakwambia ππππ nimemuona mwezako leo kwenye gar anakalili definition ya communication skills hamko serious
Mnooo, unafikii tyuuh umejaa.Yani Bora hivo marafiki wachachesana sikuhiz
Marafiki ni muhimu sana kwa maisha yetuBaba yangu nikiwa mdogo sliwai niambia ni lazima kuwa na rafiki tulia kwenu
Hapo nilidundwa na rafiki wa utotoni nikarudi nalia
Hivi ua..ni imekuchenga?πππNiite nakujia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe we ni mgunduzi.Pole mwaya, ila nilichogundua kwenye urafiki mkiwa wote real bila unafiki mambo yanaenda.
Kikubwa tu vibe zenu ziendane, ila ukiona mtu anazingua haifai kabisa kuforce urafiki.
Kabisa yaani muwe real nishawahi kuwa na rafiki anaongeasana kuliko mm Yani muongeaji balaa ni miak mingi ila mda mrefu hatuko karibu kidogo nilienjoy urafiki mdomowak wote hajawahi kunikorofisha sijawah sikia ananisema na ukinikwaza ananunua ugomvi Hawa mbwa wenginePole mwaya, ila nilichogundua kwenye urafiki mkiwa wote real bila unafiki mambo yanaenda.
Kikubwa tu vibe zenu ziendane, ila ukiona mtu anazingua haifai kabisa kuforce urafiki.
Nasubiri kuuona mwisho wa hii semister ukifahuru bila sup nidai 30000 nitampa mjomba wako Half americanmdogo wangu mimi ni geniusπ
Kama uliua sawaMnawatoaga wapi π
Kiasili Mimi sio muongeaji na hata mtu akiongea huwa nakuwa msikilizaji zaidi kwa sababu watu wengine ni mitego but nna watu nnaowaamini ila nachuja vya kuwashirikisha. Kuna Mambo nitazikwa nayo I swear to GOD.