Bora ujiondoe mm moyo ushakufaga Ganz na marafiki wa hivo Yani najifungia ndani ni mwendo wa tamthilia TU kama sijaenda job nawza siku nzima nisionane na mtu nimekuwa muoga mnoNilikua na rafiki wa hivyo daah nilisikitika urafiki wetu kuingia doa sababu I loved her for real Ila sasa siwezi endekeza tabia zinazonikwaza
Ndio maana nkasema muamini mtu lakin asijue 100%. Pia kuna Mambo n yako na Mungu wako hayapaswi kuwa shared kwa yeyote.Unakuwa hujui dear yaani ni surprise
Nakumbuka nililizwa na rafikiyangu kipenz alinisema wakat nipo mbwa yule via sms na mtu Yan alininanga nilikuwa uchi kabisa bila kosa 😀😀😀nililiasana Ile siku alafu akaja kunibembeleza pole rafikiyng unashida gani niambie ndo maisha Yan nililia km nipo msibani Yan akisema pole naangua kilio🤣🤣🤣🤣
Wewe mume sasaKwahyo Mimi huniamini mrembo ?
Salamaleko.Bora ujiondoe mm moyo ushakufaga Ganz na marafiki wa hivo Yani najifungia ndani ni mwendo wa tamthilia TU kama sijaenda job nawza siku nzima nisionane na mtu nimekuwa muoga mno
Yaani marafiki walichonifanya hatari sanaBora ujiondoe mm moyo ushakufaga Ganz na marafiki wa hivo Yani najifungia ndani ni mwendo wa tamthilia TU kama sijaenda job nawza siku nzima nisionane na mtu nimekuwa muoga mno
Hana baya ,hakifa haozi. Ooh nimesahau Kwanza hafi 😅Namwamini sana Gily
Na inaonekana una kamoyo kepesi, watu wanakuumiza kirahisiBora ujiondoe mm moyo ushakufaga Ganz na marafiki wa hivo Yani najifungia ndani ni mwendo wa tamthilia TU kama sijaenda job nawza siku nzima nisionane na mtu nimekuwa muoga mno
Tunakupenda 🤣🤣🤣
Tunakupenda sana totoo 🥰
Mamayangu alimuona rafikiyangu mmoja hiv Kwa muda wa wiki akaniita akanambia hivi rafikyako unamuelewa mbonasiri za watu anazisema had kwangu unauhakika zako ziko sawa aliona mbali sikukaa wiki akanipigia tukio 😀😀😀baaada ya tukio matukio yakaniminika nyieNdio maana nkasema muamini mtu lakin asijue 100%. Pia kuna Mambo n yako na Mungu wako hayapaswi kuwa shared kwa yeyote.
Mimi Kama unanijua ni kwa kiwango nilichoruhusu mimi si vinginevyo.
Kuna kitu watu wengi huwa hawakijui, mtu anapokuletea Mambo ya siri za mwingine elewa fika hata zako kuna mahala anazifikisha kama zilivyo.
Changamsha genge, peponi anakiti chake, motoni yupo vvvviiiippppHana baya ,hakifa haozi. Ooh nimesahau Kwanza hafi 😅
Ukome 🤣🤣🤣Nilikua na rafiki wa hivyo daah nilisikitika urafiki wetu kuingia doa sababu I loved her for real Ila sasa siwezi endekeza tabia zinazonikwaza
Sana yaani ni hat siwez kujibizana na sichelew kulia Sasa🤣🤣Na inaonekana una kamoyo kepesi, watu wanakuumiza kirahisi
Ila usikate tamaa trust me marafiki wa kweli wapo, na Mungu atakujalia utampata ambaye mtaenjoy urafiki wenu🥰
Safi....Chuo nikishakuwaga na rafiki
Alikuwa rafiki mwenye rafiki zake ambao by that time hawakuwa rafiki zangu.
(Tuliishi 1 Hostel.. chuo level tofauti.
Kuna siku sijui ikawaje wakaanza kunisema [emoji1787] yule rafiki angu akaanza kuwasuta wenzake kwann wananisema.
Basi baadae nikaja kuwazoea na wale wengine. Ndio kupata huo ubuyu kwamba rafiki alinitetea nisisemwe [emoji38].
Nikazidi kumpenda [emoji3590]
Na yeye akanipenda
Mpk tukaanza kufanana
Tukaanza itana Twin
Until to date bado tunawasiliana… ingawa tuko miles mia mbili tofauti.
Na ukishika cm yangu ukaenda kwa contacts ukaserch TW… lazima uone Twinie.. toka enzi hizoo mpk leo sijawahi edit jina.
Nina hako ka bahati ka kupata marafiki ninao vibe nao… sijawahi tendwa na rafiki.
Kwanini ulie???Sana yaani ni hat siwez kujibizana na sichelew kulia Sasa[emoji1787][emoji1787]
Mm pia nilikuwa nae mmoja tangu form one had form tukamaliza hakufanya vizuri akaolewa mm nikaendelea na shule nikapata marafiki wapya vichomi balaa yan ningekuwa msutaji nafikir ningekuwa na vikao kilawiki nao nimeamua nijiepushe na maumivu madogomadogo 😀😀Chuo nikishakuwaga na rafiki
Alikuwa rafiki mwenye rafiki zake ambao by that time hawakuwa rafiki zangu.
(Tuliishi 1 Hostel.. chuo level tofauti.
Kuna siku sijui ikawaje wakaanza kunisema 🤣 yule rafiki angu akaanza kuwasuta wenzake kwann wananisema.
Basi baadae nikaja kuwazoea na wale wengine. Ndio kupata huo ubuyu kwamba rafiki alinitetea nisisemwe 😆.
Nikazidi kumpenda ❤️
Na yeye akanipenda
Mpk tukaanza kufanana
Tukaanza itana Twin
Until to date bado tunawasiliana… ingawa tuko miles mia mbili tofauti.
Na ukishika cm yangu ukaenda kwa contacts ukaserch TW… lazima uone Twinie.. toka enzi hizoo mpk leo sijawahi edit jina.
Nina hako ka bahati ka kupata marafiki ninao vibe nao… sijawahi tendwa na rafiki.