Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

A friend to keep forever
πŸ˜‚ Imebidi nicheke, mama aliona huu Moto sio wakawaida. Wapo watu wahivyo na niwachonganishi mno. Mimi mshkaji akileta habari za hivo namcheki tu simpi ushirikiano. Nna jamaa yangu mmoja hata nikiwa na shida siwezi muomba msaada kwa aliyowahi niambia kuhusu baadhi ya watu waliomueleza shida zao.
 
Hao ndo watu wabaya zaidi kwakweli
 

Mimi unaniweka wapii [emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜… pole sana
Kaa kwa pattern, hata hao masnitch utawamudu tu.
 
Ninaye lala nae kitanda ki1 na kumvulia nguo zote na kuwa mtupu km nilivyo zaliwa, huyo ndo rafiki angu, couz anaujua undani wangu.

[emoji625][emoji625]
Waswahili mwapenda ngono sana, kwani hamna mifano mingine.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…