Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

Hongereni sana wengine hatujabahatika unakuta rafikyako nae ana rafikiyake shida zinaanzia hapo now tumetuliza makomwe yetu tuπŸ˜€πŸ˜€
Hakunaga rafiki duniani ni Yesu Pekee maana kila mmoja ni mnafiki
 
Wewe unatakiwa upate rafiki kama Depal ndio anakufaa🀣🀣
Kumbe ndo zake tungeelewana sana shida yangu siwez kujitetea live Yani Bora unipe mda au nijitetee Kwa ujumbe nafikir nakuwa huru ila live alafu nimekwazika kilaneno halitoki mdomoni mwisho machozi tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nikijikaza nisilie hapo nitaondok nikalilie mbele huko πŸ˜‚πŸ˜‚
Nafikir rafikizangu wamenotice Ilo wao ndo wamekuwa wasemaji wanapitiliza
 
Wewe unatakiwa upate rafiki kama Depal ndio anakufaa🀣🀣
Nitamwaribu 🀣🀣🀣

Af nimekumbuka, Yule mwehu alokufata Pm anakwambia me nitakuharibu mpe salamu zangu,, nitamuharibu yeye kwanza kabla sijawaharibu niwapendao
 
Ngoja siku me nikutende, utakuja kuandika uzi
 
Me hua ananisaidia maana sometimes nikogo mnyonge kama wewe ila kamanda Depal amenisaidia pakubwa🀣
 
Uzembe tu 🀣🀣🀣
 
Uzembe tu 🀣🀣🀣
Umejifanya nicheke kunamtu nilimsimulia kitu akaniuliza ukamjibu nn nikamwambia sijamjibu kitu nikaondoka akanambia wew fala kweli πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ukamuangalia tu ikabid nianze kucheka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Rafiki ni mke wangu na watoto wangu; wengine ni kubadilishana mawazo tu
 
Rafiki ni mke wangu na watoto wangu; wengine ni kubadilishana mawazo tu
Hongera nami natamni iwe hivo kwakweli japo now mamaangu kidogo sabbu siwez mshirikisha kilakitu lakin at least najua hawez kuwa na unafki Kwenye mafanikioyngu
Ule Mchepuko wako sio rafikyakoπŸ˜‚
 
Nitamwaribu 🀣🀣🀣

Af nimekumbuka, Yule mwehu alokufata Pm anakwambia me nitakuharibu mpe salamu zangu,, nitamuharibu yeye kwanza kabla sijawaharibu niwapendao
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Jamani usimchambe msamehe
 
Nitamwaribu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Af nimekumbuka, Yule mwehu alokufata Pm anakwambia me nitakuharibu mpe salamu zangu,, nitamuharibu yeye kwanza kabla sijawaharibu niwapendao
Narudia, napenda rafiki mtata, yaani tutaivana balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…