Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

Hivi mwanaume ukinyonywa shingo unaweka pozi gani? sura na macho yanakuwa kwenye Hali gani?😂
 
Shingoni nitaruhusu normal kisses sio kunyonywa 5 up to 10 minutes uko hapo😂
Naona kama namilikiwa na mwanamke,napenda nimmiliki mwanamke kwenye 6*6 yaan naweza lamba pua na kwapa
 
Shingoni nitaruhusu normal kisses sio kunyonywa 5 up to 10 minutes uko hapo[emoji23]
Naona kama namilikiwa na mwanamke,napenda nimmiliki mwanamke kwenye 6*6 yaan naweza lamba pua na kwapa
[emoji2]Kwa hiyo wewe hata mwanamke wako hutoruhusu akukalie kwa juu sababu utahisi anakumiliki? Acha hizo bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sipendagi wanawake waswahili kuna manzi mmoja nilikutana nae somewhere nakumbuka nilimnunulia msosi na nikampa hela ya bodaboda na nikachua namba nilikuwa nachart nae vizuri nilipanga nae kama miadi Mara nne nahakutokea sehemu tuliopanga kukutana nae akanipa visingizio vya ovyo sijui msiba ulitokea siku nyingine Mara ooh Mama anaumwa.siku nyingine yeye ndio alipanga akasema atanipitia sehemu nilipo imepita massa 2 demu atokei wakati yeye ndio aliniambia simu nampigia inaita alafu haipokelewi. Eti baadae kabisa anakuja kunipigia anasema nilikuwa sijisikii tu kupokea simu dah nilimmind ila sikumwambia utadhani huyo manzi ni binti mdogo kumbe ni dada mtu mzima ana miaka 28.Baada yakuona miyeyusho ni Mingi nikaamua nisiwe napokea simu yake wala kumjibu message zake.

Siku Moja akanipigia kwa namba ngeni akaanza kunipa lawama ooh sasa hiv simjali Mara ooh ninamchunia wakati akiniomba hela nampa ila nikiomba meet aji nikaona huyu manzi akili hana kwasababu alishakula pesa zangu Sana nikamwambia nataka kesho uje tuonaone usipo kuja naomba ufute namba yangu ya simu tusitafutane naona unaniletea pigo za kishamba demu akaja nikamla siku hiyo hiyo ila alinichezesha si mchezo na siku hiyo hiyo baada ya kumaliza nae sex sikumtafuta na namba yake nikaifuta maana si kea upuuzi wa kijinga aliyonifanyia
Wenyewe wanaamini wakisumbua kama hivyo ndo wanapandisha thamani zao kumbe ni ushamba tu.
 
Mwanmke ambae hanipi attention, hanipi muda wake, anaeleza sana matatizo yako lakn hanitengenezei mazingira nimueleze yangu, hathamini chochote namfanyia, anaumiza hisia zangu makusudi...

nimekutana nae mara .. asee huyu manzi kafanya sahii sina mzuka hata wa ku settle mahusiano.. in short siwaamini wanawake tena
Najiona mimi kwenye hii comment!
 
Mwanaume ambaye hanipi attention japo kidogo, yupo busy busy, hakutafuti hadi umpigie mwenyewe, usipomtafuta ndiyo imeisha hiyo, hadi nakua najiuliza am i his babe au jirani yake? Yaani kama mimi ndiye mwenye shida naye sana aah. Inaboa
Wanawake ndo wana tabia hii mara nyingi!
 
Back
Top Bottom