Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

Habarini wanajamvi, natumai ni wazima wa afya.

Kama mada inavyosema. Kwa upande wako unamuogopa au hupendi kuingia kwenye mahusiano na mwanamke au mwanaume gani?

Kwa upande wangu mwanamke muongo muongo dah, ananikata stimu kabsa yaani. Niliwahi kutoka na mwanamke miaka mitatu kumbe nimedanganywa nyumbani kwao, yaani anapoishi na hata kabila lake.

Kwa upande wenu imekaaje hii?
Mwanamke tapeli kuna pisi moja hiyo tulifahamiana nayo kama miaka miwili mimi naishi mbali naye akaniingia kwa ujanja kwamba anahitaji kuja kunitembelea mkoa niliko ila akasema hana nauli.Nilimtumia 50,000 akaanza kutoa visababu vyake kwamba ameahirisha kuja.Kwa jinsi nilivyokuwa nimejiandaa kula mbunye nilikasirika na kuamua kumpiga block
 
Mwanaume mwenye inferiority complex. Hata ukimzidi kipato ukiwa kimya yeye anaoma unamdharau.
 
Mwanaume mfupi anaeza panda juu ya stuli akakupiga. Mwanaume mweupe ukimnyonya tu shingo kidogo kawa mwekundu kama nguruwe [emoji2961][emoji2961]
Kunyonywa shingo 😮,hili ni kosa la jinai la pili likitoka mwanaume kushikwa kalio
 
Mwanamke tapeli kuna pisi moja hiyo tulifahamiana nayo kama miaka miwili mimi naishi mbali naye akaniingia kwa ujanja kwamba anahitaji kuja kunitembelea mkoa niliko ila akasema hana nauli.Nilimtumia 50,000 akaanza kutoa visababu vyake kwamba ameahirisha kuja.Kwa jinsi nilivyokuwa nimejiandaa kula mbunye nilikasirika na kuamua kumpiga block
Wanawake kama hawa ukiwapata ni kucheza na marinda yao tuu hakuna namna
 
Back
Top Bottom