Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

1.Mwanamke mchawi
2.Mwanamke mjuaji
3.Mwanamke mgomvi/mkorofi/Muongo na mlevi kupindukia
 
Aisee basi inawezekana, sasa kama ndiyo mapungufu yangu je haina kuvumiliana?
Umejibu vema sana kuhusu kuvumiliana....Kwa nini nawe usimvumilie huyu "Mwanaume ambaye hanipi attention japo kidogo, yupo busy busy, hakutafuti hadi umpigie mwenyewe, usipomtafuta ndiyo imeisha hiyo, hadi nakua najiuliza am i his babe au jirani yake? Yaani kama mimi ndiye mwenye shida naye sana aah. Inaboa"
 
"Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendano husitiri wingi wa dhambi".
 
Back
Top Bottom