Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Wala sio kwamba kuna kitu kinaangaliwa. Binadam jinsia zote mbili tunamapungufu, ambayo mtu akikupenda, kwa namna moja au nyingine atatafuta namna ya kuyavumilia au kuishi nayo.Aah sasa kwenye mahusiano unamaanisha inakuaje? Mnaangalia nini?
Mtu kama hakupendi ni hakupendi tu, hata uwe unakata viuno kama feni.
Penzi lolote jipya huwa linakuwaga na vibe, ila after kufunuana mara kadhaa, hapo ndio inabidi kuwepo na sababu ya kuwafanya muendelee kushikamana, kinyume na hapo, kuna mmoja ataoneshwa kila aina ya rangi.
Utakaa uumize kichwa labda kuna sehemu unakosea, ila ukweli wa kuwa hupendwi unauruka.
Anayekupenda, ukikosea chochote, lazima atasema maana anavalue uwepo wako