macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kwani kumpa mtu kitu chochote (awe mwanamke awe mwanaume) ni kuwekeza na usubiri mavuno? Unajua maana ya ''kutoa kwa hiari'? Huyo mwanamke huwa anakushikia bunduki ili umpe? Si wewe kwa unanga wako unaamua kujipendekeza ili akuone wa maana? Kama ni uwekezaji kwa nini usiende sehemu sahihi?Huyu mangungu huyuuu...
Hapa ndipo mnapofanya kosa. Unawekeza kwa mwanamke kwani yeye ni sehemu ya kuwekeza?Kuwekeza kwa mwanamke ni sawa na kubeti tu 😅
Yeye katoa angalizo ya kuwa usiweze kwa mwanamke kiasi ambacho inakufanya ushindwe kutekeleza malengo yakoSijatukana ila nimesema kulingana na ulivyoeleza.
Hivi nikuulize Kuna Mke anatokea Bila kua demu wako?
Na unataka useme kua unakua na demu humjali unataka Hadi siku umuoe ndio uanze kumjali?
Huyo labda Dada Ako.
One thing ni Mtu kama ni mbaya ni mbaya tu kama atakuliza hata mkeo atakuliza tu the same to us Men.
So pata chimbo lako likikuliza umia silently penda kwingine sio kusema onhooo mara hiv mara hivi labda kama wewe ni motivational speaker.
Alichomaanisha mtoa mada ni kwamba usiwekeze kwa mwanamke sana kiasi ukashindwa kutekeleza malengo yako ulijiwekea kwenye maishaKwani kumpa mtu kitu chochote (awe mwanamke awe mwanaume) ni kuwekeza na usubiri mavuno? Unajua maana ya ''kutoa kwa hiari'? Huyo mwanamke huwa anakushikia bunduki ili umpe? Si wewe kwa unanga wako unaamua kujipendekeza ili akuone wa maana? Kama ni uwekezaji kwa nini usiende sehemu sahihi?
Mzee wa pixel hadi ww huna imani na wanawake 😂😂😂😂😂😂😂Kuwekeza kwa mwanamke ni sawa na kubeti tu 😅
Kafanya nn Mzee wetu 🤣Huyu mangungu huyuuu...
Kwani mwanamke ni sehemu ya kuwekeza mpaka uwekeze kiasi cha kushindwa kutekeleza malengo yako? Hili ndilo swali langu. Yaani kwa kifupi msimamo wangu ni kuwa sehemu za kuwekeza ni sehemu kama kampuni, biashara, benki, kununua bonds nk. Lakini kwa mwanamke huwezi kuwekeza na ukiwekeza basi utakuwa ni mtu mjinga sana. Mwanamke kama una uhusiano naye au hata kama ni mke unampa zawadi au mahitaji nk kulingana na uwezo wako. Au zawadi ndiyo unasema ni kuwekeza?Alichomaanisha mtoa mada ni kwamba usiwekeze kwa mwanamke sana kiasi ukashindwa kutekeleza malengo yako ulijiwekea kwenye maisha
Mwamba umeongea kitu cha msingi sana ina nigusa hata mimi manzi wangu sijamzoesha kuumpa hela kila anapohitaji, kuna siku akaniambia ujue kuna wanaume wengi wana hela wananihitaji me nikamjibu hivi kama wanakuhitaji unabaki na mimi ili iweje si uende ukaanzishe nao mahusiano sasa mimi nikusaidie nini. Tangu siku hiyo nilivyomjibu hivi hajawahi kuniletea ujinga tena zaidi ya kuzidisha upendo kwangu na heshima iliongezeka hiki ndicho kitu wanaume wanakosa kujiamini na kujipa thamani.Mfanye mwanamke wako ajione kwamba hana thamani anayojipa, shida vijana wengi wamempa mwanamke thamani kubwa ndio maana wanatawaliwa na wanawake.Bi
Binafsi namwambia mwanamke kama unanipenda NAMI nakupenda basi tusaidiane haina haja ya Kila kitu nikufanyie.
Naambiwa bahili sijui matunzo ila kiukweli Mimi sijali.. nikipata na siku zikinikaa vizuri nampa
Tukikwazana kidog tu anasema hunihudumii vyakutosha na mim hainiumi kwakuwa ni kweli simhudumii vyakutosha.
Shida kubwa ni huu uoga tunaopeana kuwa mwanamke usipomridhisha sijui kumhudumia atakukimbia au wenzio wanakupigia,
It's ok, mwanamke hata umuhudumie vipi akitaka kutoka nje anatoka tu tena Kwa ajili ya vitu vya kijinga saana.
Kiongoz mim sio mhongaji ila wanawake nakaa nao saana tu.
Mwanamke Yuko kama mteja wa dukan hasa kwenye hivi vibanda vya mangi, ukimkopesha Kwa kuhofia kuwa atatoka kwako na kwenda Kwa mwingine hapo umempa ruhusa kutokuja dukani kwako maana atajua kuwa ana deni, ila ukimnyima lazima atakuja tena tu maana anajua anakuja kununua na Hana deni.
Ukimhudumia mwanamke Kwa hofu kuwa atatoka nje, siku atatoka tu bila sababu ya msingi. Ila ukimwambia ale kinachopatikana anakuwa na hofu yakutoka nje.
Acheni kujitutumia wanaume wenzangu,
Hata ujumbe wa mtoa mada upo hivyo sema haukumuelewaWewe ndiye umenena kweli.
Ndio mtoa mada anawaonya watu wanaofanya uwekezaji wewe uoni watu wanasomesha,wanafungulia biashara mademu zao n.k ndio kuwekeza kwenyewe huko Mwamba hivi vitu ujui kuna watu wanavifanyaKwani mwanamke ni sehemu ya kuwekeza mpaka uwekeze kiasi cha kushindwa kutekeleza malengo yako? Hili ndilo swali langu. Yaani kwa kifupi msimamo wangu ni kuwa sehemu za kuwekeza ni sehemu kama kampuni, biashara, benki, kununua bonds nk. Lakini kwa mwanamke huwezi kuwekeza na ukiwekeza basi utakuwa ni mtu mjinga sana. Mwanamke kama una uhusiano naye au hata kama ni mke unampa zawadi au mahitaji nk kulingana na uwezo wako. Au zawadi ndiyo unasema ni kuwekeza?
Tukisema ukweli ili vijana waji-adjust kitalaamu tunaambiwa tuna chuki na blah blah nyingine kibao lakini ukweli wa tunachokiongea upo wazi.Somo limeanza kuwaingia watu 😁 Natafuta Ajira
Hatari...kweli shukran ya pundaà matekeUnamuona huyo mwanamke ? kwa kifupi huyo mwanamke unae mfanyia kila kitu kwa hali na mali ?
Jitihada zako hazina maana kwake .Niamini mimi nakuambia hii leo ,hii haina maana kwamba nawachukia wanawake .. huo ndio uhalisia kataa kubali!!
“ Mwanamke hajali kile unachomfanyia ukilinganisha na kile anachokufanyia wewe” SOMA TENA.
Ndio atajisikia furaha, na kukuita majina yote mazuri unayoyajua na hata kukuambia asante mara 700,hata kukupa ngono utakapo hitaji kukuonesha kwamba na yeye anajali .. LAKINI UKWELI NI KWAMBA HATHAMINI JITIHADA ZAKO JUU YAKE.
Unajua anathamini nini ni jitihada alizozifanya juu yako ,mda ,pesa ,hisia na kila kitu alicho wekeza juu yako. Yess 100% she value that.
Ok sasa nirudi kwenye andiko langu na wala usininukuu vibaya. Elewa kwamba sina maana ya kwamba usifanye kitu chochote kwa mpenzi wako , hapana wewe mpe upendo ,pesa, care ,attention na takataka zote utakazo weza. But mpe kwa kiasi ambacho hautakuja kulia machozi ya samaki ziwani.
kwa kila kitu unachompa mwanamke hesabu hasara.
Kamwe usitumaini kwamba jitihada zako atazirudisha, Ni kama kupanda mtu ,ukitoa matunda sawa na usipotoa iwe sawa pia.
Kwasababu huyo huyo mwanamke anaekuambia” asante kwa kila jambo unalomfanyia” ndio mwanamke huyo huyo atae kuambia “sikukulazimisha kufanya kila kitu juu yangu” na ndio mwanamke hyo huyo atae kuuliza “ umefanya nini cha thamani juu yangu”.
Mwisho
#Mangungu tuachie timu yetu mView attachment 3131489
Tupo kwenye kizazi cha vijana wa kiume ambao wamezidiwa akili na wanawake.Mwamba umeongea kitu cha msingi sana ina nigusa hata mimi manzi wangu sijamzoesha kuumpa hela kila anapohitaji, kuna siku akaniambia ujue kuna wanaume wengi wana hela wananihitaji me nikamjibu hivi kama wanakuhitaji unabaki na mimi ili iweje si uende ukaanzishe nao mahusiano sasa mimi nikusaidie nini. Tangu siku hiyo nilivyomjibu hivi hajawahi kuniletea ujinga tena zaidi ya kuzidisha upendo kwangu na heshima iliongezeka hiki ndicho kitu wanaume wanakosa kujiamini na kujipa thamani.Mfanye mwanamke wako ajione kwamba hana thamani anayojipa, shida vijana wengi wamempa mwanamke thamani kubwa ndio maana wanatawaliwa na wanawake.
Wanaume wengi wanakuwa wadhaifu mbele ya mwanamke kwasababu ya mbususu na wanawake wanawajulia sanaTupo kwenye kizazi cha vijana wa kiume ambao wamezidiwa akili na wanawake.
Vijana. Wamekubali kushusha standards zao na kuwekewa standards za ovyo kabisa na wanawake
Mkuu wenzetu wamekaa kimkakati mda wowote kunachangamka oohMzee wa pixel hadi ww huna imani na wanawake 😂😂😂😂😂😂😂