Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufe mara ngapi you are already mentally dead bodyAkagombee uaskofu huko kwa wakatoliki wenzake nchi hana ubavu...wowote poleni
Padre awe rais on my dead body!!!!
Mkuu wangu nakubaliana sana na changamoto zako isipokuwa tu unajaribu kufikiria Kiulaya Ulaya wakati tunazungumzia Tanzania nchi ya dunia ya tatu walioingia Ubepari pasipokuusoma Ubepari matokeo yake kila mmoja wetu kabeba Msalaba wake.Chadema lazima kiweke mgombea urais hilo halina ubishi, ubishi unakuja ni nani wa kupeperusha bendera ya Chadema. CCM hategemei umaarufu wa mgombea kwa sababu ina machinery kubwa ninaposema machinery sina maana ya sera nzuri hata kama wana sera nzuri au mbaya lakini wao wana dora, uwezo(pesa), mtandao, umri, watu(puppets), nyenzo nk, ndiyo maana Mkapa na Kikwete pamoja na kutojulikana sana walishinda kwa kishindo.
kitu kingine tusidanganyane kushinda urais bila wabunge (minolity government) ndiyo solution tunasahau kuwa huyo rais atakuwa anaelea juu juu bila mshiko wowote ataikuta katiba ile ile na sheria ni zile zile na mikataba ilishapitishwa na bunge kuibadilisha itakuwa kazi nzito, bills zake zikikataliwa na bunge mara mbili inabidi aziondoe au alivunje bunge hapo ndipo mwanzo wa kupigiwa kura za kutokuwa na imani mfano Japan, kama kweli sisi ni wapinzani wa kweli tujiimalishe huku chini kwenye mizizi bungeni ndipo tutakapojenga nyumba imara(urais).
Mkuu wangu nakubaliana sana na changamoto zako isipokuwa tu unajaribu kufikiria Kiulaya Ulaya wakati tunazungumzia Tanzania nchi ya dunia ya tatu walioingia Ubepari pasipokuusoma Ubepari matokeo yake kila mmoja wetu kabeba Msalaba wake.
Nitarudia kusema uchaguzi wa nchi zetu hasa zile zinazofuata Popular vote na mfumo ambao mshindi huchukua zote hakuna cha Bunge.. Mugabe kashindwa bungeni, Kashindwa hata Popular vote alichobadilisha ni matokeo ya Popular vote na leo ndiye kiongozi anayepanga mwelekeo wa Zimbabwe. Hakuna cha Morgan wala mjomba wake. Hivyo hivyo Kenya matokeo yake ni yale yale bunge halina nguvu ya kumwangusha Kibaki. Huyo raila yupo yupo tu kubeba miswada bungeni.
Na kibaya zaidi ni kwamba sisi wote akili zetu ni kumchagua rais... uchaguzi wetu is all about the PRESIDAA wengine watajipanga nyuma yake na ndio maana ukitazama Wabunge na Madiwani wa CCM walioshinda wakati wa JK 2005, wengi wao hawana hata elimu wala sifa yoyote ya Uongozi. Watu wameshinda kienyeji enyeji tu.. Yaani Bungenikumejaa uozo kutokana na tiketi ya JK na kama unakumbuka Wabunge wenyewe baada ya ushindi walikiri kwamba ushindi wao umetokana na JK.. JK alipata support kubwa ya chama kutokana na uwezo wake kununulika na sii sifa yake ktk Uongozi.. Mwaka huu mambo yamebadilika na JK mwenyewe ameanza kulikoroga. Jk ameacha miaya mingi ya mashambulizi kiasi kwamba haitakuwa kazi kubwa sana kumtwanga magoli.. Na zaidi ya hapo safari hii ni lazima JK apande kizimbani kujitangaza.. akiingia mitini tunapata tena sababu nyingine ya kumshindilia. Nafasi ya Urais iko wazi kuliko mnavyofikiria.. kinachotakiwa ni vyama vya Upinzani wasijichuuze na kuanza kufikiria kila mmoja waoanaweza kushinda..Hofu yangu kubwa ni CCJ ambao binafsi nafikiri ni pandikizi la CCM kupotosha watu haswa wakati issue ya Richmond ilipokataliwa Bungeni. Kwa kuhofia kelel za wananchi ikazaliwa CCJ kutupotosha akili zetu ktk kufikiria maanake sote tunasubiri mwokozi. Nasubiri tu kuona wamejoipanga vipi nyuma ya vyama vya Upinzani laa sivyo hiki ni chama kilichopandikizwa kutuzuga kwamba wana uchungu sana na serikali hali ni baadhi ya watu ambao hawana uhakika na ushindi wao ndani ya CCM.