Dr Slaa anafaa sana, lakini nafikiri wakati si muafaka kwake yeye wala kwa mpinzani yeyote yule kwa sababu nafasi ya kushinda ni ndogo sana, na akishindwa tutakuwa tumepunguza nguvu muhimu sana bungeni ambayo tunaihitaji bado kwa sasa.
nafikiri ni bora tuongeze viti vingi bungeni then turudi kwenye urais. HISTORIA YA KUSHINDWA IKIWA KUBWA SANA HAILETI IPCHA NZURI KWA MGOMBEA AU UPANDE UNAOGEMBEA, INAWEZA KUKATISHA TAMAA SUPPORTERS. Kwa hiyo naona ni bora tusikimbilie Urais mpaka tujipange vizuri na tuwe na nguvu nzuri.
Tujenge vyama vyetu vizuri kuanzia ngazi ya chini. Ujue huko ndio kwenye watu wengi. vijijinoi tufike na tuwe na matawi mengi yenye nguvu. mIkoani kote pamoja na wilayani. Huwezi Kushinda kama hujakamata sehemuhizi vizuri.Inabidi Tutafute fund ya kutosha na hasa means za kupata fund ambazo ni sustainable. Siasa bila fedha lazima tukubali kwamba haiwezekani.
Mambo mengi ningependa kuchangia lakini naona nahitaji muda na pagea za kutosha zaid, naomba niishie hapa wadau. Slaa BIG UPPPPPPPPP.